Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna kijana mmoja aliwahi kunipigia simu mwaka 2011 akinitaka tuwe marafiki. Awali nilidhani ni msichana kwa jinsi alivyokuwa akilainisha sauti. Aliniambia anataka tuonane Tandale. Nilikwenda...
1 Reactions
59 Replies
15K Views
Last week niliandika kama nahitaji boyfriend I need a boyfriend and am so happy kumpata mtu ambae tunamatch. So application closed Love you my new baby
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Za leo ndu wapendwa, mimi nimeolewa na mda wa mwaka na nusu sasa. Hapo nyuma niliwahi kuwa na boyfriend tuliye kaa naye kwa mda wa miaka mitatu hivi. Huyu X-bf alikujakufahamu kuwa niliolewa na...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Jamani nimejikuta nampenda girl mmoja humu JF,kumweleza ndo ishu mana naogopa haya majina yanaweza yasiwe ya kike.
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Nimefanya utafiti huu (mwenyewe) karibu miaka sita sasa,...kulingana na takwimu nilizonazo zinajitosheleza kuwatuhumu Wasichana wasomi hasa wanaokaa mijini(midogo na mikubwa) kuwa hawataki...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Niliyekuwa namuwakilisha mwaka huo wa 2011 alishapata lengo lake... Thread closed...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nijuavyo mimi wachumba ni mwanamke na mwanaume ambao wamevuka hatua ya urafiki na kuingia hatua nyingine kwa maana kutambulishana na kutangaza nia ya kuoana.Wachumba siyo mke na mume au watu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
How to determine who does what! by Jennifer Good Equilibrium in household duties is crucial in a romantic partnership. If one partner starts to feel the scales are unbalanced, it can show up...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wanajanvi, nimepata hii email asubuhi hii kutoka kwa shost wangu, and belive me ijaweza kumshauri chochote maana sijapata muda wa kufikiria na it seems she is really disturbed and need...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
MUSIKILIZE HUYU DADA......... Nilirudi nyumbani nakukuta nyumba imefungwa, nilishangaa kwani nilijua mwanangu atakua shule na Dada wa kazi atakuepo. Lakini sikumkuta, niligonga sana mlango kwani...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Njia pekee ya kulinda ndoa yako ni kumfahamu partner wako . Kwa sababu ukisoma kitabu cha Men are from mars, women are from Venus , ambacho watu wengi wanaamini jamaa alifanya research ya kutosha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu. Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Huwa naangalia ndoa za watu namuomba Mungu aingilie kati Maana zipo mashakani Ukisoma maandiko (bible) na tafiti , sermons,mbali mbali hasa za watu kama Myles Munroe spiritually , utabaini haya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati Ex wangu aliponikataa na kukatisha mahusiano na mimi bila kumtendea kosa lolote, nilichanganyikiwa sana. Niliumia moyo. Nilihisi kusalitiwa mno pale alipoanza kutembea na mtu...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Naomba upitie hapa unipe ushauri, Hii true story plz, Mimi nafanya kazi katika shirika moja la madini, sitapenda kutaja jina, na ni mtu wa Tabora, nina msichana ambaye ni...
4 Reactions
97 Replies
7K Views
Utavaa kondomu lakini hutakwepa vimaji maji vyenye virusi vya homa ya Ini, si unajua hata kwa jasho homa ya ini inaambukiza. Tuwe makini wanaume tuache kugonga gonga hovyo kitaa, kama ukiusoma...
11 Reactions
77 Replies
10K Views
Usipoteze Muda kukaa na watu wasiokuamini kwa maana utaishi kwenye wakati mgumu wakati mwingi wa maisha yako. Unaweza ukaanza kujiuliza utawajuaje watu wasiokuamini? Ni rahisi sana, angalia jinsi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Inasikitisha kwa kweli! Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari wa JF, Ma great thinker, hebu tuichambueni hii na kuidadavua sayansi inatuambia kwamba kuna siku za kutegea ili upate mtoto wa kike au wa kiume lakini ukiangalia kiuhalisia hii kitu hamna...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom