Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sallam Kuna baadhi ya kazi ni mitihani kweli kweli hasa kwa Afya zetu... 1. Bodaboda-hawa jamaa wana siri nyingi sana hasa za wachepukaji, na watu wenye deal nyingi za magumashi 2. Kuna hawa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Sitaki hata salamu! Embu tulieni bhana.Khaa!
11 Reactions
254 Replies
19K Views
Erick alikuwa kijana anayesoma chuo kimoja nchini uingereza na alikuwa akiishi na mama yake ambaye alikuwa ameajiriwa kwenye mgahawa mmoja mjini london. Erick alilelewa na mzazi mmoja ambaye ndo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisitizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili...
15 Reactions
78 Replies
6K Views
Jamani ehe leo yamenikuta mwenzenu nimekuwa na mahusiano na mwanamke toka mwezi wa 2 mpaka leo sasa leo cha ajabu nimetumiwa picha ya mpenzi wangu whatsapp na rafiki yangu ambaye yupo drs kanambia...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Habarini wadau wa jukwaa la love connect: Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo vifuatavyo; 1.Kabila-msukuma 2.Dini-mkirsto 3.Rangi-maji ya kunde/mweupe/white is fashion.... 4.Umri-miaka 18-22...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri...
1 Reactions
128 Replies
11K Views
Mwanamke wa Pakistani amekamatwa na polisi baada ya jaribio la kumuua mume wake kwa kumuwekea sumu kwenye maziwa kwenda mrama na kuuwa watu 13 kwenye familia Polisi walisema mama mkwe wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za leo waungwana, Kuna baadhi ya wanawake hua tabia zao za ajabu sana,mfano unakuta yuko na mumewe au mwanamme wake,sio kawaida yake kumshika mwanamme wake mikono wala kiss wala hug mbele...
4 Reactions
92 Replies
10K Views
Kaka yangu ni mpenzi sana wa muziki wa hip hop. Mke wake ni mjamzito, Ijumaa walienda kufanya ultra sound na wameambiwa mtoto anayekuja ni wa kiume. Sasa kumekuwa na ubishani wa hali ya juu mpaka...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu...
10 Reactions
117 Replies
8K Views
Ndo hivyo.Yaani hawana ubunifu wowote!hawana changamoto zozote...hawajui kuhamasisha game liende dakika 120....ni kama magogo tu.
3 Reactions
86 Replies
12K Views
Muda wangu mwingi nimeishi Dar ila tangu nimalize Chuo mwaka jana nimekua sio mkazi wa kudumu; yaani huwa nachomoka kwa shughuli zangu za kikazi then narejea tena mjini, sasa nikirudi nakuta...
1 Reactions
79 Replies
16K Views
Mama mtu mzima wa miaka 45 au 50 unavaa skin jeans stori zako unakaa na wasichana wa miaka ishirini umebandika makucha kama jini makata wanja unachora wa fashion wa lulu vimini unavaa kutwa uko...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Maeneo Ya mijini Mida hiyo tajwa Mara nyingi ndo hutumika kwa michepuko katika kutekeleza zoezi la kugegedana. Karibu kila mitaa ina vipori ambavyo vinatumika kwa appointment. Mume Ukienda...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
The dead are harmless, fear the living Tundu Lissu yupo hai, japo kashatiwa pancha kibao... Lakini ni faraja kwa wengi kumuona bado akiwa na uhai tele... Faraja kwa familia, faraja kwa ndugu...
15 Reactions
91 Replies
9K Views
Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani? Nawaza tu...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani. Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka...
29 Reactions
230 Replies
22K Views
Kumekuwa na wimbi zito linaloikumba sekta nyeti sana ya mahusiano upande wa mapenzi, zimeanzishwa nyuzi hapa jf kuhusu wanaume kutowafikisha akina dada kileleni na hii nikutokana na nguvu za kiume...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom