Wanaume tuu!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
 
Ukianza kuona shida hiyo ita mama hukohuko Sumbawanga, anakaa wiki moja, then anasepa!...Hela makaratasi, kwani nini bana!
Mwezi na nusu tayari uko HOME na unaenjoy nae tena!..
Na yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?
 
Kama kazi haikubani sana jaribu kuomba ruhusa siku za karibu na wikiendi, uende home ukahondomole kwa mkeo halafu ukirudi wafanya kazi kwa bidii kwani kiu ishaisha kama sio imepungua.
Ila njia nyingine nzuri ni hiyo hapo aliyokupa Pakajimmy naona inawork vizuri zaidi.
 
huwe unapiga punyeto ukizidiwa..wewe ukifanya hivyo na mkeo na hivyo hivyo kuna ndoa tena hapo..
 
OWA MKE WA PILI.

REASON

Hakuna sehemu Yesu kasema kuoa mke wa pili dhambi.

Hakuna sehemu PROPHET wa mungu wamesema KUOA mke wa pili dhambi.

Sehemu ile kama hakuna wanawake hapo inabidi ufunge kama wanavyo fanya wa islam, au upunguze kula chakula ili shahawa zipungue...Mana shahawa zikizidi unaweza kuchanganyikiwa ukarukia hata wanyama....Au kama kutakuwa na wanawake sehemu ile, utakutana nao wale ambao watakushawishi utoke nje ya ndoa.

Kuna totoz zina fig 8 mazee, huwezi kuzipita itabidi uvute handbrake juu.

All the best.
 
Ni jambo la kawaida sana hilo kwa mwanaume lijali na mwenye afya njema,cha msingi ni kuwa mwangalifu na cheza salama maana kukaa muda mrefu bila sukari ya Mungu huwa ni ngumu sana kwa mwanaume.
 
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
Ni nini kinakuwezesha kuyashinda majaribu kwa siku moja? Wiki moja? Mwezi mmoja? kama unaweza kuvumilia kwa mwezi mmoja, nini kinashindikana kuendelea na miezi mingine?
 
We Fazaa kama huyajui maandiko ni bora ukaacha kumpoteza mwenzio,angalia 1kor 7:2,pameandikwa;"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanaume awe na MKE wake mwenyewe na kila mwanamke awe na MUME wake mwenyewe" mstari wa 10 unasema;........"mke asimwache mumewe".,....11....."Mume asimwache mumewe".Fazaa hakuna palipoandikwa wake au waume!
 
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?

Yaah sawa kabisa, kama ilivyo pia kwa mkeo, naye huwa uzalendo unamshinda ikifika kipindi kama hicho! Ezan, Kumbuka unapokuwa mbali na mkeo kikazi na yeye mkeo anakuwa mbali na wewe kwa umbali huohuo. matamanio yako hayatofautiani na ya kwake kwa sababu wate mmekuwa mkitimiza mahitaji yenu kwa pamoja. Yeye ni binadamu kama wewe na ana feelings kama zako. kama huwezi kuiheshimu ndoa yako kwa kuwa mwaminifu kwa mkeo je mkeo akikufanyia unavyofanya wewe utafurahi? mkeo naye akishindwa kuvumilia basi agawe vyombo vyako kwa wanaume wengine? Tena fikiria kama wewe huwa humfikishi penyewe halafu likatokea janaume linalojua kazi kukuzidi likamridhisha mkeo, nakwambia atakuwa anaomba uwe unasafiri kila siku tena hata kwa mwaka mzima!
 
Na yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?
hkwenda kumpa tendo la ndoa mume wangu hii ni sababu tosha ya yy kupewa likizo! jaribu utanambia
 
We Fazaa kama huyajui maandiko ni bora ukaacha kumpoteza mwenzio,angalia 1kor 7:2,pameandikwa;"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanaume awe na MKE wake mwenyewe na kila mwanamke awe na MUME wake mwenyewe" mstari wa 10 unasema;........"mke asimwache mumewe".,....11....."Mume asimwache mumewe".Fazaa hakuna palipoandikwa wake au waume!
Nakushukuru sana Eiyer,nimependa ulichoandika.
 
Back
Top Bottom