Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisee... leo asubuh ndo jamaa yangu mmoja anaitwa Amani ndo kanipigia simu. jamaa alienda Tanga week tatu zimepita kikazi. mara ya mwisho tumewalisiliana nliongea naye kwa simu akanambia kuna kazi...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani nina shemeji yangu kila anapogombana na kaka yangu anakuja kuleta mashitaka tena akisema hamtaki tena na wanataka kutengana lakin nikiwa nataka kuleta suluhisho wanapatana weak moja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa? Hivi kwa mfano ghetto mnaishi nyie wawili tu, halafu mchele, unga, sukari, majani ya chai, chumvi na mafuta vyote vipo ndani. Je kiuhalisia unatakiwa umwachie...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka.. Wanaoishi...
2 Reactions
99 Replies
10K Views
Hivi mwanaume anaposem anataka mwanamke mwenye dini anamaanisha mtu aliyeisoma dini,akaijua ila haitilii maanani anaifanyia kazi kiuvivu uvivu au Mtu aliyesoma walau kidogo lkn anapractice? Yupi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu bandugu na jamaa.Leo kachero wenu nataka niteme cheche kwa dada zetu wa humu jf na wengine wengi ujumbe huu uwafikie.Ujumbe wangu uta ambana na picha ili kuonyesha hali halisi pia...
5 Reactions
60 Replies
19K Views
Mke mmoja aliulizwa: Ni kipi kimemfanya mumeo akupende kiasi kwamba asione yeyote mwengine duniani wa kumsifia ila wewe, Ilhali wapo wenye uzuri kukuliko? Akajibu Hakika sikuwa mzuri wala sina...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
NAOMBA MSIJE KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YANGU, NJOONI KWENYE MSIBA WANGU. Baada ya kukaa kwenye ndoa takriban miaka 10 kasoro miezi miwili wakafanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekutana na wanawake zaidi ya kumi wanalalamika kondom zinawaumiza ivi hili ni kweli? wajuzi wa mambo wanijuze tafadhali Isije ikawa wanaigiza tu,
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Hapa duniani: 1. Ukikosa pesa utakosa thamani na upendo kwa ndugu, wazazi, jamaa na marafiki. 2. Ukikosa pesa kila baya ni lakwako, mema yako mengi hayataonekana ila mabaya machache yatakuwa na...
23 Reactions
64 Replies
9K Views
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys. Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka Niende...
4 Reactions
69 Replies
10K Views
Nimekutana na msichana miezi miwili iliyopita nikampa mistari kwanza kaniambia anamtu wake sikukata tamaa baadae ameniambia eti kama nina upendo wa kweli nimtumie laki tano kuthibitisha upendo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu. Kaka na Dada zangu ninaswali ambalo linanitatiza sana naombeni mnisaidie kuna uwezekano wowote wa mtu ke/me kujiendeleza katika mahusiano yaliyopita au aliyoyavunja kiroho bila yeye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka 2008 kipindi hiko nipo kidato cha 5 nikiwa naelekea Tuition pale mapambano Mwenge kipindi hiko stendi ya daladala iko Mwenge. Basi kilongalonga changu kikaita ile kupokea nasikia...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Mr. Nevian alikua bize kuchat katika simu yake, hakuwa akimsikiliza mkewe ambaye alikuwa akimuambia kuwa kapata kazi na kesho yake ndiyo alikuwa anaenda kuripoti. “Ofisini kuna yule Bosi wangu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
mambo vipi wananchi wa magufuli mada hapo juu kama inashtusha au imekaa kawaida lakini kuandika hv ni kwamba naomba kuuliza au mm nimjinga nashindwa kuelewa kuhusu ndoa ya mkeka, nina mambo mawili...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wakuu. Ukweli ni kwamba mimi nimelelewa na mama tu, mzee alifariki miezi michache kabla sijazaliwa. Hivyo msamiati wa baba hauko kabisa kichwani mwangu. Naomba useme neno...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Ujasiri wa wanawake wa kimachame umekuwa mara kwa mara ukihusianishwa na mauaji yale yaliyotokea miaka ile ya 1886 ambapo wanaume kadha wa kadha wa kimachame waliuawa kutokana na fitina ile...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari za weekend wananchi wenzangu, Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF. Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja Raia wa Nigeria ambaye anaishi Afrika Kusini, amenunua gari ya kifahari aina ya Mercedes-Benz G-class, na kumpa mwanaume mwenzake, ili kumuomba msamaha kwa kumpa ujauzito mke wake...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom