Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,267
- 12,736
Sallam
Kuna baadhi ya kazi ni mitihani kweli kweli hasa kwa Afya zetu...
1. Bodaboda-hawa jamaa wana siri nyingi sana hasa za wachepukaji, na watu wenye deal nyingi za magumashi
2. Kuna hawa wafanyao kazi katika saluni za kike/kiume...hawa nao wana yao
3.wapaka kucha rangi/waosha miguu ya kinadada- hawa jamaa ni hatari mno yaani unamkuta bi dada katulia kabisa jamaa yupo uvunguni anapiga kazi katika mazingira adhimu kama yale, mabidada wengi wana namba za hawa watu.
4. Wahudumu wa bar/ hoteli, hawa pia simu zao zina maajabu yake..
5. Watu wa mikopo nao wamo
6. Mafundi simu......kupitia hii nina uhakika wa asilimia 100% jamaa wanajua mengi kuhusu wateja wao na ni kazi ngumu muda mwingine mteja aweza sahau vitu vyake ktk simu....wapiga picha za utupu mafundi wanazijua tupu nyingi tuu.
7. Kuna hawa wauza mihogo ya pilipili/maparachichi hawa kina dada wanakutana na mengi
8.manesi/madaktari wanayokutana nayo wanajua wao
9.hawa wakodisha Cd/ wachuuzi sokoni/ wenye mabucha/ mafundi cherehani/ mafundi bomba/