Viwanja vikali vya matanuzi Dar, hebu tujuzane wadau...

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Muda wangu mwingi nimeishi Dar ila tangu nimalize Chuo mwaka jana nimekua sio mkazi wa kudumu; yaani huwa nachomoka kwa shughuli zangu za kikazi then narejea tena mjini, sasa nikirudi nakuta mabadiliko makubwa sana...

Utakuta viwanja nilivyovizoea vimepitwa na wakati au vimebadilishwa majina kabisa, kasoro vile vichache kama Corn*r B@r...!!!

Kwa mfano kwa sasa nipo town ila naboreka kimtindo, hadi nianze kuwachek washkaji ndio wani-update

Hebu tujuzane jamani, kama kuna kiwanja kikali unakifahamu, tupeane details kinapatikana wapi na kuna nini cha kipekee huko...kwa mfano totoz, misosi mizuri, madhari nzuri ya kutongozea, kama kuna kificho (especially kwa wale wanaoiba wake/madem za watu), uwepo wa parking nzuri (esp kwa wale wanaotembea na magari ya kazini usiku wa manane) n.k

Karibuni...
 
Hiyo clause ya kutongoza wake wa watu iondoe ndio tuendelee.
 
AKEMI is the baddest news in town! Laki si pesa millioni deni! Dinner ya 2 people mkiacha tu laki tu 3 sio breaking news. Chezeya moving restaurant!(Sijatia chumvi) Dinner is srictly by booking! Hapana chezeya IndianFrench standards ndani ya bongo!

Kuna ALBASHA kwa sie tunaopenda mapigo ya Arabic! Lebanese cuisines!

Na vingi vile vile vya kila siku. Run way, ambassador, level 8, Savannah, Et al kwa nyie wa kishua.

Mango garden, Mashujaa kwa MAMAAAA SAKINA (Huku ni vingunguti kiembe mbuzi, uswaziiiinoma noma! Ila kunanogaje mbaya sasaaa! Acha kabisaaa! Mauono ya internent hayazeeki na kuzaa kote.) Meda, B bar, Kibo complex, didys, Jackies, Q bar, Cine club, giraffe, ET AL! Kwa wabono wa kawaida tusiopenda makuu na tunaopenda kunywa bia zetu kwa amani na utulivu pasi mashauzi yasiyo na maana!

Casino pia zile zile karibu zote za wahindi. New Africa, Las Vegas, Seacliff, Le grande (Hii inanoga sanaaa nasikia). In short mujini hakuna jipya kivileeeeeeee!

Viwanja vya kuspend na family ndo vinaongezwa!
 
we umejenga hata kibanda cha vyumba 2?
chezea maisha,kula bata mjini,fainali uzeeni? utakufa kama Kanumba
 
AKEMI is the baddest news in town! Laki si pesa millioni deni! Dinner ya 2 people mkiacha tu laki tu 3 sio breaking news. Chezeya moving restaurant!(Sijatia chumvi) Dinner is srictly by booking! Hapana chezeya IndianFrench standards ndani ya bongo!

Kuna ALBASHA kwa sie tunaopenda mapigo ya Arabic! Lebanese cuisines!

Na vingi vile vile vya kila siku. Run way, ambassador, level 8, Savannah, Et al kwa nyie wa kishua.

Mango garden, Mashujaa kwa MAMAAAA SAKINA (Huku ni vingunguti kiembe mbuzi, uswaziiiinoma noma! Ila kunanogaje mbaya sasaaa! Acha kabisaaa! Mauono ya internent hayazeeki na kuzaa kote.) Meda, B bar, Kibo complex, didys, Jackies, Q bar, Cine club, giraffe, ET AL! Kwa wabono wa kawaida tusiopenda makuu na tunaopenda kunywa bia zetu kwa amani na utulivu pasi mashauzi yasiyo na maana!

Casino pia zile zile karibu zote za wahindi. New Africa, Las Vegas, Seacliff, Le grande (Hii inanoga sanaaa nasikia). In short mujini hakuna jipya kivileeeeeeee!

Viwanja vya kuspend na family ndo vinaongezwa!

nimefatilia post zako nyingi sana, huwa nacheka sana the way you present
 
njoo tabata kwa wala bata. Kuna italian, oh yeah, na pub kbao.

Hhahahaaaaaaaaa! Kona ya mawenzi imediately baada ya chama pale hiyo italian ndo ipo bisha? Ya siku nyingi sanaaa ile mahala! Toka niko second year. TBT siku hizi nikoenda kunabambaa ni More fire kwa Papaaaa Pedesheee John Mangi! Dar west park na Swiss Pub.
 
Sogea wallet tabata shule weekend hii nikupe japo bia mbili tu lara1
 
Thanx lara1 kwa viwanja ntatia maguu ths friday kwenye kiwanja kimoja nimekuwa too bize na kazi cpati hata chanc ya kurelax
 
nenda Africana pub mbezi beach,samaki samaki ya makonde au mlimani,msasani beach club,Tsquare ,brake point ,mzalendo makumbusho ,rose garden sayansi,sun cirro maeneo ya sinza,nguruko mbez makonde unapata the best mbuzichoma in town,
 
Hhahahaaaaaaaaa! Kona ya mawenzi imediately baada ya chama pale hiyo italian ndo ipo bisha? Ya siku nyingi sanaaa ile mahala! Toka niko second year. TBT siku hizi nikoenda kunabambaa ni More fire kwa Papaaaa Pedesheee John Mangi! Dar west park na Swiss Pub.

Hivi wewe dada kuna kiwanja chochote hapa Dar hukifaham.....? Naomba unijibu maana duhhh
 
nenda Africana pub mbezi beach,samaki samaki ya makonde au mlimani,msasani beach club,Tsquare ,brake point ,mzalendo makumbusho ,rose garden sayansi,sun cirro maeneo ya sinza,nguruko mbez makonde unapata the best mbuzichoma in town,

Hapo Nguruko Makonde dahhh!!!!! Sijawahi kula mbuzi wa kuchoma sehemu yoyote hapa Dar ika shinda ya hapo Nguruko...
 
Back
Top Bottom