Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jamii Mimi ni Mtanzania naishida Kanda ya ziwa, natafuta rafiki wa kike mzuri mtaratibu na pia mwenye hofu ya Mungu. Lengo kubwa kama ikimpendeza Mungu baadae aje kuwa mama wa watoto...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Meet Miss Clara Meadmore. She celebrated her 105th birthday on Saturday. Having known she would remain single from the age of twelve, Clara Meadmore abstained to concentrate on earning a living...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Anatakiwa mwanamke alieye serious na yuko tayari kuishi na mume as soon as possible. Sifa: Mwanamke, mrembo, anaejiheshimu, mcha Mungu. Awe tayari kupima HIV. PM namba yako twende sawa. An ant...
2 Reactions
72 Replies
4K Views
Jamani kuna mdada anaomba msaada wa mawazo, amekuwa na bahati ya kupata wanaume wazuri lakini baada ya muda kidogo wanamchukia kabisaa au yeye mwenyewe huwachukia na kuwadharau mwisho wake...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwaka 2010 ilikuwa ndo mwaka niliojiunga na mitandao ya kijamii hasa Facebook na baadae Instagram Nikiwa katika mitandao hiyo nimewahi kuwatongoza wanawake tofauti tofauti kama 440 mpaka sasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ilikua miaka michache iliyopita hivi niliwahi kumfukuzia msichana niliyetokea kumpenda sana kwa muda kama wa miezi minne hivi, lakini matokeo yake ikawa ni kutolewa nje(kukataliwa) kwa kigezo kua...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakazi wenzangu wa humu JF. Natumai kumekucha salama kabisa, Leo nimeona sio vibaya tukikumbushana kidogo kuwa makini katika suala la ngono kwani pamoja na utamu wake ila...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
habari za sahii... katika kuketi sehemu hivi nikiwa napata moja baridi isiyo na sukari. Hivii... hawa wanawake wazuuri kabisa ambao hawataki kuolewa wanataka bata za mjini,hivi huwaga wanakuja...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje. Sent...
5 Reactions
145 Replies
12K Views
Wakuu kwema?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Poleni na miangaiko ya hapa na pale! Leo nimeona tushirikiane kwenye hii mada ya kuuza mechi! Naamini wahenga wanaelewa nini namaanisha. Nimejaribu kupita sehemu mbalimbali na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu huyu dada namuhusudu sana natamani siku moja awe mke wangu tuwe tunapika na kupakua chungu kimoja. Sababu kuu ya kumpenda huyu dada ni kwa sababu anajipenda ,anajiheshimu pia ana uwezo...
0 Reactions
75 Replies
13K Views
Haya ndugu zangu wenye vinyongo. Vinyongo vitawaua Jifunze kusamehe na kuachilia. Life is good, usiwabebe watu moyoni Kuna muda moyo waweza kuwa mgumu kusamehe kutokana na makosa mabaya na...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwili wa mwanamke mmoja aliyeripotiwa kuwa ni mke wa mtu mwenye watoto wanne umekutwa kwenye taxi mjini Lagos, nchini Nigeria ukiwa juu ya kifua cha mwanaume ambaye nae alikuwa ameshakufa. Wote...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Niko na miaka 2 tangu nimuache mpenzi wangu wa mwanzo, lakini baada ya hapo nashangaa kila mdada ninayemrushia kamba niwe nae anachomoa. Sasa nimekua mpweke mpaka nahisi labda kumuacha yule...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanaume huwa wakiulizwa vipo unaoa lini,utasikia aaah wangu bado hajazaliwa ,,huo msemo umegeuka umekuwa wa sie wanawake kitendo cha dogo janja kuoa irene uwoya khaa kimedhihirisha kua ule msemo...
11 Reactions
125 Replies
11K Views
Habari za leo wapendwa, natumaini mko salama. Kunajambo naomba msaada wa mawazo maana watu ni kushauriana peke yako sometimes tunashindwa kuamua. Mpenzi wangu ambae ni mjamzito sasa, sijamtolea...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Salaam ndugu zangu.Poleni na majukumu. Niende kwenye mada sasa. Kasi ya kutamani kila kipitacho mbele yangu imeongezeka kimiujiza sana. Kila anayepita ni mzuri na vijana wanatumia msemo usemao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwanaume hana hela wamgandaaa tu mwanaume amepanga vyumba viwili eti wakubali kuolewa naye baada ya siku mbili waanza pita kwa mashosti kukopa kwani wenzako waliokuwa wanamkataa huyo bwana...
22 Reactions
732 Replies
50K Views
Back
Top Bottom