Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
The dead are harmless, fear the living
Tundu Lissu yupo hai, japo kashatiwa pancha kibao... Lakini ni faraja kwa wengi kumuona bado akiwa na uhai tele... Faraja kwa familia, faraja kwa ndugu jamaa na marafiki, faraja kwa wenye tafakuri ..
Kila jambo lina pande mbili! Hasi na chanya... Ni wakati huu furaha ikiwa imetamalaki kwa kifo kumuepuka Lissu kuna upande haupendezwi kabisa na jambo hili, upande ule uliotaka kumuondoa duniani kwa shehena ya risasi.... Wanaishi na kihoro kikubwa! Misheni imebuma
Picha za Lissu akiwa na tabasamu pana, sauti yake nk kuna watu inawatoa jasho la kimya... Tundu yuko hai hivyo bado ni hatari bado ni tishio kwao.... Angekuwa mfu ingekuwa tunasimuliana mengine saa hii... Lakini wakati umekataa! Umekwenda kinyume na matakwa ya mafedhuli watoa roho zisizo na hatia
unaogopa maiti, unaogopa kupita makaburini hasa nyakati za usiku pekeyako, unaogopa wafu wasio na madhara.. Wasioweza hata kutikisa mdomo!
Saddam Hussein hayupo Osama hayupo, Muammar Gadafi hayupo, Hugo Chavez hayupo! Mullar Omar?!.. Hawa walijengewa taswira mbaya na mbabe mbobezi mmarekani... Amewaondosha wote na wengine wote! Gombana na mwingine yoyote lakini si mmarekani, mlipa visasi katili asiyesahau... Asiyeshindwa...!!!
Mwogope sana black mamba mwenye nundu...!!!!!! kule kwa mdanganyika, MLALA HOI LAKINI HAI... MSHINDA HAI LAKINI HOI.....!
Nunda huyu.... Hohehahe wa fikra yakinifu ndani ya tafakuri gandamizi... Mgando..!!!!
Usimwogope mfu hawezi kukudhuru! Jinamizi katili hayuko mbali nawe.. Ukisikiliza kwa makini unaweza hata kusikia mirindimo yake... Huyo ndio wa yeye.. Yeye katika yeye... Yeye ndani ya yeye MWOGOPE bado anahema na pumzi yake inatoa miale ya moto.....
LIssu atarejea hewani lakini ndio kwanza mapambano yameanza... Bado anatafutwa anyamazishwe milele... Uhai wa Lissu ni mchongoma mkali kwa watia pancha..
..
kilevi cha mvinyo wa madarakinika, hakiwezi kujaza bilauri elfu kwakuwa hakikuwekwa kwenye balase bali kiko chupani, ujazo usiozidi ratili...
Wafu hawana madhara, ogopa waliohai kwakuwa hata kikombe chao kimebeba ujumbe wa kuogofya..
sitaacha kamwe kuwahudumia wafu kwakuwa hawawezi kunidhulumu roho yangu