Hapa Tanzania inawezekana kweli?

Hapa Tanzania inawezekana kweli?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani?

Nawaza tu ingekuwa vizuri kupata idea tofauti na mtu tofauti kufunga mwaka ila watu wazima wenzangu inawezekana? Au naota?
 
aaaaaaaaaaaah hio itakua ni kupoteza muda hasa ukuzngatia tupo awamu hii ya hapa kazi tu....kwanza hizo cku tatu mtakua mnabadilishana mawazo gani yasioisha mpk mkashndwa kubadilishana na utamu!!
 
Me naona unaota

Kwa mawazo gan ya siku tatu??

Kwani kaka yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
umeanza kuwaza 2+2=22 wakati unafahamu fika jibu lazima liwe 4 [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
 
Yote hayo yakifanyika kwa siku tatu, basi ujue wakianza sex hao itachukuwa miez mitatu bila kutoka nje.

Kazi itakuwa kuwapelekea chakula tu wako rumande.
 
Back
Top Bottom