Yamenikuta

Yamenikuta

Kilawo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,031
Reaction score
3,689
Jamani ehe leo yamenikuta mwenzenu nimekuwa na mahusiano na mwanamke toka mwezi wa 2 mpaka leo sasa leo cha ajabu nimetumiwa picha ya mpenzi wangu whatsapp na rafiki yangu ambaye yupo drs kanambia cheki demu wako uyo amepiga picha yaani yupo uwani inaonekana macho yamelegea kama ametoka kutoa papuchi mda sio mrefu nikamuuliza picha umepata wapi? kanambia kanitumia rafiki yangu wa ukouko mbeya sasa naomba mnipe ushauri nifenyeje nami uyo mwanamke nampenda sana wakuu
 
Ha ha ha ha Mwanaume wa mkoan ushamegewa ha ha ha ha
 
Mkuu kuna mambo mengi ya kufanya...

Hujaspecify tu unataka ushauri wa kufanya nini kwahiyo hatielewi kuwa tufanye nini....mi nakushauri zima data uendelee na kazi zako za kila siku
 
Endelea kumpenda, yeye anaendelea kulegezea macho wengine..
 
Mkuu kuna mambo mengi ya kufanya...

Hujaspecify tu unataka ushauri wa kufanya nini kwahiyo hatielewi kuwa tufanye nini....mi nakushauri zima data uendelee na kazi zako za kila siku
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ebuu tuma pichaa tuonee...Labda unaona vibaya
 
Back
Top Bottom