Habari zenu wanajamvi,
Naomba ushauri kutoka kwenu,
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na Mungu akipenda mwaka huu tutaoana.
Kilichonileta hapa...
Hello!! Nmewasogezea tena karibu hii hapa
Hasa kwa wale wanaotaka kuacha sababu ya mateso makubwa na wameshindwa !!
UNAPOCHUKUWA MAAMUZI YA KUMUACHA HUYO MAN AU WOMAN AMBAE UMEJIRIDHISHA KUWA...
Habari zenu waungwana,
Amekuja shoga wa dada yangu amefikia kwangu na mumewe watakuwepo 2 weeks lakini anakera pale anapofanya mapenzi jamani kelele mpaka mlokua ukumbini mnasikia, na si kama ni...
Habarini wana MMU
Niende moja kwa moja kwenye point
Kumekuwa na wimbi la wanawake kuchambuliwa na kutupiwa mzigo wa lawama na tabia mbaya zisizoisha,tena mbaya zaidi hata kama ni ushauri...
Mke: Sikucommand mme wangu ila nalinda pendo langu upo ndani ya himaya yangu ndiyo maana ninahofu na zao langu.
Mme: upo sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndiyo upanic sio poo tu...
Habari za Asubuhi waungwana,
Tulikua na harusi last two weeks, sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa...
Amani na upendo viwe nasi sote.
Niende moja kwa moja kwenye Topic. Wanawake wa siku hizi ni wapumbavu sana. Haya ni moja kati ya upumbavu wao;
1. Wanang'ang'ania kuwekwa kwenye profile za...
miaka ya nyuma nlikuwa na mshkaji wangu sana toka sekondari mpaka chuo. kipindi hicho tuko sekondari jamaa alikuwa na demu wake mzuri nami nlikuwa na demu wangu. mimi katika pita pita zangu...
Hellow,kwa kwa mwanamke ushawahi mdanganya mpenz wako kuwa una mimba yake na je baada ya kujua ukweli kuwa ni kiki ikawaje nawe mwanaume ulowahi danganywa baada ya kuujua ukweli ilikuaje?
Nina rafiki yangu wa kiume tumeshibana sana kiasi kwamba changu chake chake changu.
Wik 2 before, aliniita hotel moja ili anitambulishe kwa msichana wake mpya (ingizo jipya ) aseee msichana ni...
Sijui mwanga,haiwezekani sina hata mazoea nae kivile ni siku moja tu nilikutana nae kazini kwake .
Nasubiri nimuote Mara ya 4 nikamwambie tabia unayonifanyia sio nzuri.
Hakuna anaeijua safari yako zaid ya unavoijua ww kuna watu wamekujua ukubwan lakin wanajifanya kama wamezaliwa pamoja na ww kuna watu wamekujua ushapata sasa wanakufundsha namna ya kutumia.Watu wa...
Naomba kuwauliza mlioa jamani...
Hivi ukimuomba msaada kaka yako wa damu kabisa uwe ni wa pesa au hata kitu chochote ambacho kipo ndani ya uwezo wake lakini yeye badala ya kukupa wewe mdogo wake...
FAHAMU WATU WENYE MATATIZO YA MAJIVUNO KAMA HAWA HAPA.
Kisaikolojia wanajulikana kama Narcissistic Personality Disorder, utafiti unaonyesha kuwa majivuno ni tatizo au ugonjwa kisaikolojia ambao...
habari zenu?
kuna mtu nilikua na mahusiano nae wakati niko huko Arusha,but serious speaking baada ya kuhamia kwenye hili jiji la Dar es salaam nimekutana na changamoto nyingi sana za kimaisha na...
Hello jf,kwa baadhi yetu hivi ni kwanini huwa inakua ngumu sana kumsahau xboy or xgirl ambaye ulimpenda sana yani unakuta unamsahau kwa muda mfupi lakini anakujia tena akilini
Hello JF members!
Bila Shaka mu-wazima wa afya!
SIO KUOMBA USHAURI BALI NI KU SHARE CHANGAMOTO NA MITIZAMO MBALIMBALI
Taaluma yangu ni mwanasaikolojia (Psychologist) currently nashauri watu...
Kuna tangazo nimekutana nalo kweye account ya Fb nikalifatilia nikagunduwa ni la condom, sasa nikaingia zaidi nikasoma wapigie kura nikaamua kwenda kwenye ukurasa wao kuona nani ninaempigia kura...
A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.