Kamezuka katabia kabaya sana kuhusu hawa dada zangu, mtu mmekubaliana vizuri mmechenjuana vichupi ile unamsogeza kante kwenye sita unasikia 'ngoja nikakojoe'. Mi namaindi sana sema tu basi...
Habari zenu wana MMU,
Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,
Ilisema; Natafuta mpenzi
Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na...
Sina account JamiiForums hivyo nimemuomba not enough kutumia account yake ili kupata msaada ambao nauhitaji.
Mimi ni mbaba wa miaka 48 mwenye mke na watoto watatu. Mungu ametubariki tuko katika...
Nina miaka 27
Ni mwajiriwa serikalini
Ni mkristu
Msukuma.
Awe na sifa zifuatazo
[emoji173]miaka 22 hadi 32
[emoji173]mpenda maendeleo
[emoji173]mcha mungu
[emoji173]kama amezàa angalau mtoto...
Mapenzi ni baina ya jinsia mbili- mwanamke na mwanaume,
Ijapo ni Mara chache hutokea mwanaume na msichana wakapendana mapenzi ya dhati na kuvumiliana katika shida na raha.
Ila yapo machafuko...
Kuna watu huwa hawajui kununa. We ukimuudhi yeye anacheka tu. anaweza kuwa kwenye hali ngumu ya kutatiza lakini utakuta mtu bado anatabasamu tele usoni.
Hivi watu ni wa kawaida kweli au?
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Siyo kwamba sisi hatutaki kuoa, hapana tunataka sana. Sisi wanaume tulio wengi tuko smart sana kichwani hivyo...
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika...
Hii ni balaa.Inatokea lakini sometimes
ujue kupenda mtu ni jambo linatokea ghafla sana
ujue haijalishi kuwa mmekutana wapi.popote pale yani.
ujue wakati mwingine hata hisia zinaweza kusafirishwa...
Habari wadau,
Kumekuwa na tabia ya kusema kuwa wanaume wamepungua, mara hawana misimamo kwa wake zao n.k. Kwanza nianze kusema siku zote mwanawake ni kama mtoto anahitaji usimamizi thabiti ili...
Morning guys
Mwenzenu haya mahusiano yanaelekea kunishinda....nipo ktk mahusiano na huyu ,,,,jmn simuelew na sijui future yetu mi naona natumika tu....mipango yetu ni tuje tuishi pamoja lkn...
Askari wa kampuni binafsi wanaolinda forty forty wanawafukuza makahaba wakati jeshi la polisi wamewaacha..Waacheni kwa raha zao waburudike hii weeknd jaman
Jaman jaman tunaopenda kuogelea tunapata tabu sana hasa sisi kina dada.
Mbona nguo tunaovaa sisi kina dada hazionyeshi sura na maumbo ya viungo vyetu vya ndani.
Ila wanaume boksa mnazovaa...
IMEANDALIWA NA R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA; katika kiingereza
IMETAFSIRIWA NA MAISHA LASTON MWAIPAJA (AKABHOFU!!!!) BA.ED(horns) UDSM - TANZANIA ; katika kiswahili...
Binafsi mimi dada yangu aliolewa hapa mji kasoro bahari...
Sasa baada ya kumaliza chuo akaniomba niende kumsaidia kumwangalizia kibanda chake wakati yeye akienda kwenye mishe nyingine.
Sasa...
Wapendwa habarini za asbh
Mimi nina langu la moyoni naomba nilitoe kwenu, kuna dada mmoja alikuwa na maringo sana yaani anajishebedua kama haishi tz
Nilimwomba game akaniringia sana yaani...
UNA UCHI....? HAHAHAHAHAAAAAA_*
```Jamaa mmoja akagonga hodi na
mwanamke
kafungua.
Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?”
Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira.Jamaa
likaondoka.
Siku ya pili jamaa...
hebu chukulia mfano wale wanaume ambao hawajatulia wao wanachapa tu mademu kila akiona sketi anataka kujua kilichopo kama kipo. huyu na tabia hii hii aliyojijengea na amabyo imeota mizizi kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.