Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,889
- 183,958
Habari wadau,
Kumekuwa na tabia ya kusema kuwa wanaume wamepungua, mara hawana misimamo kwa wake zao n.k. Kwanza nianze kusema siku zote mwanawake ni kama mtoto anahitaji usimamizi thabiti ili asifanye upuuzi wowote ila hawa wa sikuhizi wamewekewa protection sana kiasi kwamba hata mkeo akizingua unaogopa kumtia mambata, ukiwaza unaeza ukaamkia central dawati la jinsia.
Tofauti na mama zetu walikuwa strong na adabu juu kuwa wakikengeuka utaratibu wa baba yake ulikuwa unaendelezwa na mume baada ya kuolewa, ni mbata tu! Na hilo waliambiwa toka nyumbani kuwa kitachowaokoa na mbata ni adabu kwa mume tu sio kingine.
Walikuwa haruhusiwi kulalamika kokote ila kuvumilia ndoa tu maana hata kurudi nyumbani hairuhusiwi kwa kesi kama hizo. Sana sana atatimuliwa akaombe suluhu kwa mumewe huko maana ndio kwake.
Siku hizi ndoa ni ngumu kwa sababu mwanamke amepewa uwezo sawa na mume wake toka katika ukuaji. Utaona mgawanyiko wa kazi ndani utakuta mtoto wa kiume anafanyishwa kazi sawa na wa kike, atadeki, ataosha vyombo, atapika n.k.
Wakati zamani mtoto wa kiume alifanya kazi zinazohusisha nguvu na akili nyingi tu huku hizi household chores zikiwa dedicated kwa mtoto wa kike. Hayo ndio matokeo ya utandawazi na upuuzi wa haki sawa katika malezi mama anapiga umbeya na watoto wa kiume kama shoga zake badala awafukuze wakakae na baba yao halafu mnakuja lalamika wanaume wa siku hizi wambea.
Impact yake ndio inakuja kujitokeza kwenye ndoa za kileo, mwanamke amelelewa katika fikra kuwa mwanaume ni sawa na yeye katika kila kitu and they overdo it kufikia stage kuwa na dharau na kiburi kingi.
Haikutakiwa kuwa hivyo, mwanamke anakuja na tabia za mashindano nyumba haikaliki. Chimbuko ni malezi home, alitetewa sana katika mambo ambayo hata yalidhalilisha uanaume wa kaka zake kisa tu kuweka usawa.
Tofauti na wale wa zamani kaka alikuwa akikoroma ni sawa na baba tu, waliambatana na baba zao na kupewa misingi na mama na dada walikuwa wanatii kauli zao. Watoto wa kiume sahizi baba akirudi wanakimbilia vyumbani na dada zao.
Mbaya katika yote mwanamke kupewa nguvu ya madaraka its against nature. Its not bad ila very foul at times ila tutafanyaje inabidi tuishi nalo, mwanamke akiwa na madaraka na kama alilelewa katika mfumo wa usawa shida yake kubwa anakuwa hatawaliki ndani ya nyumba.
Atataka akupe masharti yake flani au atakaidi yale unayompa nae ili muende sawa na ukikataa haisaidii maana hana cha kupoteza anajua ataishi tu. Ana kazi yake freshi na kigari so kukutii ni option kwake na ukithubutu kumgusa tu ustawi.
Akigeukia home ndio kabisa anapokelewa kwa kiji party cha welcome back huku wewe ukitumiwa polisi. Tofauti na mama zetu ambao adabu ndio ilikuwa msingi katika kuimarisha ndoa zao.
Kingine tunalaumu sana vijana wa kileo kuwa eti wanashindwa kuwa wanaume imara. Sasa utaanzaje kuwa imara kwa mwanamke kiburi mwenye backup ya kutosha+ malezi ya hovyo? (Ustawi, Kazi, Wazazi) kusimamia misimamo kama mwanaume ni ngumu sana ikiwa una mwanamke mmoja tu siku hizi.
Tofauti na wazee wetu naomba hili tukubaliane tu maana nina experience katika hili. Una option mbili tu, uwe na michepuko ukaze kiume na kutoa na kusimamia orders kiume ama ukubali kuwa kama zombi tu mjengoni ufate orders za mkeo pia na kujikuta unapangiwa hadi ratiba za kupewa uchi na upuuzi mwingine ambao ni non-sense!