Morning guys
Mwenzenu haya mahusiano yanaelekea kunishinda....nipo ktk mahusiano na huyu ,,,,jmn simuelew na sijui future yetu mi naona natumika tu....mipango yetu ni tuje tuishi pamoja lkn simuelewi kwanza mambo ya kuishi pamoja tukigombana ndio anaongea tuje tuishi pamoja na blah blah kibao lkn kama tuna amani wala haongelei ilo swala
Jana niliomba laptop yake nitumie... Nikakuta picha za ex wake za uchi nyingi tu mtu walishaachana picha za uchi za nn??
Kuna kipindi nilipata ujauzito akawa anapanga MWez wa 11 tuishi pamoja bht mbaya haikua rizik iliharibika lkn tangu hapo anataka tuwe tunapika kwangu tunaenda kulala kwake
Yaan anunue Chakula mi niwe napika anakuja kula kwangu
Alafu tunaenda kulala kwake jmn mi huyu mtu simuelew
Yaan uhusiano wetu tunajua Mimi na yeye tu labda na ndugu zangu basi lkn kwa upande wake hata rafiki zake tu hawajui..