hii tabia wamekuwa nayo baadhi ya wanaume wenzangu na hasa tuvulana. twenyewe tunajisifu tu kuwa tuna mihogo mikubwa au tukipandisha bendera masaa 12 kushusha.... mnadhan mwanamke ndo kitu pekee...
Za jioni na jumapili ya Leo wana GREAT THINKER
Nianze moja kwa moja,
Kwa wanaume wengi tumekuwa na mawazo ya kuoa ili tupate watu wa kutufanyia kazi kama vile kutufulia nguo, kupika, kulima na...
Hutokea mara nyingi msichana kumuamini mpenzi wake baada ya kupima HIV basi badala ya kuzingatia kuwa mpenzi wake au mke anaweza akatoka nje na kufanya ngono zembe na mwingine mwenye maradhi...
Wengi wetu tumekulia kwenye mazingira ambapo mijisifu na majidai yetu tukiwa vijana na balehe ikiwa imeshika kasi, sifa mojawapo ya kuonesha ushababi wetu ilikuwa ni jinsi tulivyoweza kumshikisha...
Watu wanapokuwa kwenye mahusiano hasa mwanzoni huwa na furaha sana, lakini kadri siku zinavoenda mbele inaweza tokea mmoja kati yenu akaanza kuyumbisha mahusiano yenu kwa sababu anazozijua yeye...
Kuna utafiti nimeufanya kupitia kwa marafiki zangu wa karibu ambao wako katika ndoa wengi wananielezaa ya kwamba.
Watu ambao wamefunga nao ndoa ni wale watu ambao hawakuwa ndoto zao katika...
"When You Kiss Me, you must've miss Kasie. .."
This could be it, I think I'm in love
It's love this time
It just seems to fit, I think I'm in love
This love is mine
I can see you with me when...
Wana JF
Kwa wale walio olewa na wale ambao wameoa, lazima ifike hatua watu waheshimiane na wathaminiane, mheshimu mkeo na umheshimu mumeo, mkeo hana mchepuko ametulia na ameamua hivyo ili kulinda...
Hivi mi najiuliza,mfano labda hapo atokee mama wa kijana paap,binti ataendelea kuning'iniza hiyo miguu ama?
Bila shaka ataishusha swali la msingi linakuja inamaana haya anafanya ni maonezi kwa...
Habari.
Kuna baadhi ya wanaume, wanatabia ambazo hazipendezi Kabisa. Unakuta mwanaume anamsifia mke wake weee,mara,mzuri,mara kajazia,
Unasema kimoyomoyo, kweli huyo mwanamke amepata mume sio...
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua...
WAKATI KWA WADADA INAWEZA KUWA VIGUMU KUPATA MUOAJI KWA WAVULANA INAWEZA KUWA VIGUMU KUJUA AMUOE NANI AMUACHE NANI. JE KAMA HUYU NI KAKA YAKO AU NDUGU YAKO UNAYEMPENDA SANA UNGEPENDEKEZA AOE MDADA...
Jimama La Supu ya Pweza-1
Mama Sabinamu, hujambo mke
wangu?
Sijambo mume wangu. Vipi kazi?
Kazi njema. Upo nyumbani?
Ndiyo mume wangu.
Eee, nenda kwenye kalenda ya
ukutani, funua...
Je ni kweli ukiwa na mtu anasoma chuo na wewe hausomi chuo?
Kuna hatari yoyote ya mahusiano hayo kutodumu?
Je akiwa anasoma chuo nje ya nchi na wewe husomi chuo kabisa kuna hatari ya mahusiano...
Mimi nina miaka 24
Rangi maji ya kunde
Mwembamba
Urefu wastani
Mjasiriamali
Naishi Dar
Sifa za girlfrend
Asiwe mweusi
Kabila na dini yoyote
Kazi yeyote
Umri awe 18_25
Kama upo serious uniwezi PM
Wasalaamu wakuu,
Naomba tuongezeane uelewa hapa haswa kwa kina dada zangu..
Nianze hivi, unakumbuka yule rafiki yako ambaye mkigombana au mkitofautiana kidogo utaongea au yeye ataongea mpaka...
Ssalaam jf
Naomba hili suala la lulu kwenda jela miaka miwili niliongelee kama somo na funzo kwa sie engine
Maana Mara nyingi mtu akifa sie tuliobaki tunaambiwa tutafakari mauti na tuombe mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.