Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamii nikawaida kuona wanawake wengi wakilalamika kuwa wamefanya ngono bure kwakuwa waliofanya nao hawajawaachia hata thumni! Lakini hao hao wanasahau kuwa mpaka wanafika hatua hiyo kuna...
10 Reactions
80 Replies
14K Views
kwa siku kadhaa nlikuwa kikazi mkoani kilimanjaro,nikarudi singida na nikapitia pia dodoma kwa ajili ya mambo kadhaa. mimi hupenda kutumia kila nafasi niipatayo pia kuendelea na utafiti ambao...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, Baada ya kumaliza stress za kupata kazi na kutulia nimeona nivema nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 10 mpaka...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Tabia hujenga mazoea na hakuna uhalali wa kuchepuka baina ya mwanamke au mwanaume. Akichepuka mwanamke ni makosa, dhambi na kutoridhika au mapungufu alionayo mwanaume. Na hivyo hivyo kwa mwanaume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Kwanza nichukue nafasi hii kuwakumbusha ndugu, jamaa na marafiki kwamba, ni vyema tukajua ni wapi tuchore mstari wa mwisho unapojadili mambo yasiyo kuhusu, especially yanayogusa hisia...
13 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana jf! Wote tunatambua mahusiano ya mapenzi yana changamoto nyingi lakini kubwa kuliko yote ni la kuchepuka,haya ni baadhi ya maneno nisiyoyapenda mwanamke wangu ayatumie kujitetea pale...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nataka nisuke crotchet matata,salun gani iko poa kwa hapa town(Mwanza)
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kama we ni mkazi wa dar umri miaka 18-25 mkristo uwe tayari tukapime HIV na uwe na kajishughuri chochote chá kukuingizia kipato. Nipo hapa kwajiri yako nitafute.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kisa umezaliwa Rufiji, mama anapata na ugonjwa wa moyo kujua mtoto wake anatoa Rufiji. Jamani sikuomba kuzaliwa Pwani na mtoto wako abapenda haya mahanjumato na vitobosho ninavyomuandalia. Mama...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini wa ndugu, Mimi ni mwanaume mwenye mke na mtoto mmoja. Tumeishi takribani miaka minne pamoja bila kufunga ndoa kwa sababu ya utofauti wa dini. Mimi ni mkristo na yeye muislam...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni kijana wa kiume ninasoma chuo flani hapa Tz nina miaka 24.Nikiri kwamba niliishi maisha ya woga miaka yote ya maisha yangu. Hii ilipelekea kuharibu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wakati wte Hakyanani hivi kwann mada zilizo nyingi zinazoletwa huku niza kukosoa na kunanga wanawake? Utasikia oooh wanawake wananuka midomo Wanawake wananucha nyuchi zao...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau vip? Natafuta mrembo aliyetayari nataka kuspend nae Moro hapa today nipo ipoipo hapa njia panda ya mazimbu ....!!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Akizungumza pamoja na Daktari mwenzie katika Kipindi maalum kinachorushwa na The Doctors tv huko Mamtoni / Ulaya Daktari mmoja na ambaye pia ni Mtafiti wa magonjwa ya akina Mama Kitaalam wanaitwa...
10 Reactions
56 Replies
28K Views
Habari za jumapili nyote, Kwa majina naitwa Kasinde aka Kasie aka nyonda ake dadii heheheh. Naanza na tabasamu maana ndo lililojaa usoni. Iko hivii...... Leo asubuhi kwenye saa moja na nusu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndo maana baadhi ya makabila yalijishtukia yakawa yanakeketa wanawake Hii ni kuwafanya wasigundue udhaifu wao
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wakuu wa idara zote, Kama kichwa kinajieleza, Mada ni muda gani sahihi wa kumchunguza mtu hadi unakuja kuwa na mahusiano nae ya kimapenzi? Pia ni muda gani baada ya kuwa nae katika...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu za mizunguko ya hapa na pale, niende kwenye mada. Miaka kadhaa nikiwa bado chuoni, ilikuwa majira ya usiku nilipokea text kutoka namba nisiyoifahamu, nikaamua kuipigia ili kuondoa utata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi ni sifa kuu ambazo mwanaume anatakiwa awe nazo ili kudumisha mahusiano au ndoa yake na mpenzi wake .Figa la kwanza Must be good in bed yaani umrizishe mwenzi wako kimapenzi. .Figa la pili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
What's really good JF MMU massive..?? I hope y'all's weekend is off to a great start as is mine's. I'm having a bang-up time in these neck of the woods. It's been a minute since the last time I...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom