1. Usikimbilie kuhama na kuondoka nyumbani kwa wazazi wako kabla hujajipanga vizuri.
2. Usimsubiri mwanaume ndio uanze maisha, unaweza ukaishi maisha yako mwenyewe na ukaweka msingi mzuri...
Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi dar es salaam. Sijaoa sina mtoto ninafanya kazi na nafanya biashara. Natafuta mwanamke aliyenizidi umri kwa sababu sitaki kuyumba katika kazi zangu na biashara...
Miaka ya nyuma baba akisikia mtoto aliyezaliwa ni wa kiume walikuwa wanafurahi saana kuwa nimepata msaidizi na mrithi wangu maana wazee wa zamani walikuwa vizuri kutetea uanaume wao na kusimamia...
Labda watoto wa Tanga wamelewa sifa.
Labda sample size yangu ilikuwa finyu sana. Lakini kwa mwaka mmoja nilioishi Tanga sijaona exception yeyote ambayo imekuwa ikikuzwa kwamba Tanga katika sekta...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Leo nimeona nizungumze UKWELI kuwa tangu nianze kujihusisha na mapenzi bado sijawahi kutongozwa na mwanamke. ( kutamkiwa na mwanamke kuwa anataka nikamnanihii)
Najua...
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia...
Habari za leo wana jukwaa,
Kwa mara ya kwanza, najitokeza hapa nikiwa na nia ya kutafuta mwanamke ambaye tutakua naye katika mahusiano, na hatimaye kuwa mme na mke.
Mim ninaish Dar, umri wangu...
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha...
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale,
Nashukuru nilileta uzi wa kutafuta mume,Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wanaume wa mikoani wote kwa ujumla tumeshtushwa sana na swala lililotokea Dodoma, hii kutokana na malalamiko kutoka wanaume wote wa kanda ya ziwa, nyanda za...
Habari wandugu,
Nielekee katika swali langu kama linavyojieleza hapo juu,
Kumekuwa na mtukio mengi ya watu kufikwa na mauti wakiwa katika nyumba za wageni, hasa wale wanaofika pale kama wapenzi...
nliigundua hii mifumo ya uchezaji miaka mingi iliyopita baada ya kuona kupiga pasi fupi fupi au kupiga magoli menngi kunaweza pia kuharibu afya ya wewe mwanaume mchezaji. so hapo likaja wazo la...
JF!
Nimetafakari kidogo,wadada wengi ambao wapo above 25 makabila karibiia yote wamekeketwa maana hii vita ya ukeketaji imeanza kama miaka kumi iliyopita,Nikisema miaka kumi namaanisha vita ya...
Wakati natoka Zenji leo kwenye boti nilikaa na mdada mmoja,mara ya kwanza ni kama anajishuku kunisemesha mi namcheki tu,tulipokaa vizuri akatoa noti ya sh 2000/= imeungua moto...
Hellow dears
Ni ushauri tu,tujifunze kupenda tunapopendwa because hakuna kitu kinachoumiza kama kuona mtu ambae alikuwa akionesha upendo kwako yupo na mwingine na wewe umebaki complicated...
Habari za juma tatu wadau.
Kama kawaida niende kwenye mada.
Baada ya kusoma ushauri wa wadau humu na kurejea home nilikuta hali imetulia kiasi baada ya wazazi kumpa nasaha mke wangu.Vile...
Habari zenu wote kwa pamoja,
Nitaandika kwa kifupi ili nisiwachoshe wasomaji katika jukwaa hili.
Nimezaa na dada fulani hivi mtoto mmoja, tangia pregnancy mpaka mwisho nilimhudumia kwa hali na...
Nimesiitika sana kusoma comment ya jamaa mmoja ambaye mzazi mwenzie ametaka kumtapeli mtoto na kumuuza kwa dada yake. nikasikitika kuwa katika comments ambazo zimetolewa kuna mtu mmoja sijajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.