Mrejesho: Nimepata mchumba

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,473
10,426
Habari zenu wana MMU,

Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,

Ilisema; Natafuta mpenzi

Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac.

Ahsanteni sana.
 
Duuh imekuwa mapema juzi umetangaza Leo umeleta mrejesho umempata na jina juu
Ama kweli ulidhamiria

Hongera yako mkiachana usisahau mrejesho
 
Back
Top Bottom