Inavyotajwatajwa japo inaweza kuwa sio kweli eti watanzania hawana furaha.
Kwa uzoefu wangu haitakaa itokee mwanasiasa akaahidi kuleta furaha nchini kwani Furaha ni mchanganyiko wa mambo mengi...
Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing...
Habari za mchana wakuu..
Naombeni msaada katika hili swala, japo sipendi sana kuanika Maisha yangu katika mitandao lakini kwa hili nimekwama kidogo nahisi nahitaji busara za watu wengine tofauti...
Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ...
Basi mkono wako au mguu wako ukikukosesha, ukate ukautupe mbali, ni afadhali kuingia katika uzima hali umepungukiwa mkono au miguu miwili kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili nakutupwa...
UHURU NA KUJIAMINI NI WATOTO MAPACHA
Wewe upo huru, yaani wewe ni mtu huru. Hata hivyo, ili uweze kuuhisi huo uhuru wako inabidi kwanza ujiamini.
Unahitaji kuwa huru, unahisi haupo huru. Hata...
Habarini, wakuu kuna mtoto nimemzia kweli nataka kuwa nae ila tumezoeana sana nifanye nimpate, nahitaji ushauri
*Matusi sio mazuri tusaidiane ili mwenzenu nipate jiko*
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafungukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu...
Habari wanaJF,
Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja..
Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu.
Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?
Wakuu heshima kwenu wakuu wangu.
Nimekua najiulizaga sana eti tunasema nyeti zetu ni sehemu za siri hivi ni za siri kweli?
Huyo aliyeziita hili jina alikuwa na maana gani hapa, hebu tisaidiane...
Wadau kuna katabia flani kamezuka kutoka kwa wanawake watu wazima wenye umri mkubwa tu na wengine unaweza kuona wanakuzidi au mnalingana.
Hivi hua lengo lenu ni lipi unakutana na mimi...
Nilirudi nyumbani Disemba nikaa na mzee kupiga stori mbili tatu. Nilipata stori ya kweli kabisa nilishangaa sana nikaona leo niilete JF nijue huku kwenu vipi.
Iko hivi; Watu waliozaliwa 1960...
Yako mambo ambayo ni muhimu kukumbuka katika suala zima la kutoa na kupokea baina ya mume na mke katika ndoa.
Mwanaume anapoonyesha kutaka au kuhitaji kitu kutoka kwa mwanamke, mwanamke huhamaki...
Binadamu Mungu anawaona.
Mlipokuwa wadogo mtu akikuita mchumba unanuna unakasirika.
Ukiona wazazi wanakiss unaziba macho na mikono.
Sasa hivi ushakuwa mtu mzima;
Ukiona watu wanakiss unatamani...
Tusifichane tuwe wakweli tu ndugu hivi kweli kuna dakika kwenye kufanya mapenzi? Maana vijana siku hizi utawasikia tu mimi bwana bao la kwanza napiga dakika 30.Mwingine utasikia mimi 45, mwingine...
Kwa kawaida mnapokua kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia na mwandani wako inapendeza zaidi pale mnapokua mnabadilisha mikao tofauti tofauti ili kunogesha mchezo.
Tatizo linakuja pale ambapo...
Baada ya mazoea ya wiki kadhaa tu nikamsikia akiniambia "Babe sina salio, naomba nitumie Tsh 25000 nijiunge na kifurushi cha mwezi". Nikamwambia poa.
Siku chache baadae nikamsikia, "Nimepanga...
Nimekuwa nikitafakari kwanini nyakati hizi mwanamke asiye na inye, wezele, vodo, miuno ya kuzunguka, hawapendi kupata vijana wa kuwakata maji?
Je kwa ile miuno kunanini ambacho ni cha thamani...
Salaam;
Nilikuwa na mahusiano na dada mmoja kuanzia 2013 tuliendea vema sana lakini 2016 mambo yalianza kuelekea vibaya niseme ukweli nilikuwa bize sana sometime nikawa siongei sana na simu ni msg...