Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema...
10 Reactions
48 Replies
537 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Jamaa kaenda Kanda ya ziwa huko kuposa. Wamemwambia mahari milioni 12. 2. Jamaa ananiambia alishtuka, alihisi mzaha, utani, lakini Wazazi wa mwanamke...
9 Reactions
71 Replies
903 Views
Ngoja apumue Pumue Kidogo Twende sehem yaitwa the Penny Black mtaa wa Robertson Quay baada ya mechi sasa twaenda Rooftop ipo Marina Bay Financial Centre , Maana masaa kadhaa yalopita shughuli...
7 Reactions
251 Replies
4K Views
Kabila hizi zingine wana shida sana.bora tu wamaasai wetu.na tena sitak nipotez asilia yetu.
1 Reactions
7 Replies
104 Views
Habari wakuu, So, nimekumbuka hili jambo nikaone nishare kupata na kuelea mitazamo tafauti. Wikendi hii nilipata fursa ya kwenda maeneo fulani na pia nilibahatik kushuhudia harusi ya jamaa yetu...
2 Reactions
5 Replies
102 Views
Nice guys (wanaume wema) ni wadhaifu/nyoronyoro na hawawezi kupambania wanawake? Nice guys wanakosa tabia za masculinity ya hali ya juu? Nice guys hawavutii?
19 Reactions
369 Replies
5K Views
TOFAUTI YA UPENDO NA HESHIMA Alisema Niccolo Machiavelli kwamba "Watu huwa wepesi kumdhuru au kumuangamiza mtu ambaye anayehitaji kupendwa sana kuliko mtu ambaye ametengeneza mazingira ya...
3 Reactions
3 Replies
625 Views
Kwema Nna rafiki yangu mkubwa sana ana kidemu chake kizuri kizanzibar Jana kimekuja kunigongea mlango saa nne usiku, Cha ajabu tunakaa mbali mbali na swahiba wangu yeye anaishi magomeni Mimi...
4 Reactions
33 Replies
541 Views
Oooh beib usiii..... aaah Jo mo n unanipatiaaa Ooh kipenz taam yangu nipo tayari hata kuwauza wadogo zangu hela nitayopata ule wewe Daali ha po pee_nye_we usiingize yo tee aah shhh....
3 Reactions
23 Replies
479 Views
Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote...
1 Reactions
25 Replies
271 Views
Wakuu nimeshindwa nimejaribu we nimeshindwa aisee bwana mimi nina tamaa sana ya wanawake kiufupi nina tamaa sana ya mademu kwa mfano nikiwa kwenye kutibu natongoza sana wanawake na kweli nawapata...
1 Reactions
14 Replies
292 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako. Mara aseme kachoka, mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, mara aseme...
33 Reactions
138 Replies
2K Views
Za jpili Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma Nawaza tu hivi aje dk kupima HIv humu Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri Jpili...
6 Reactions
38 Replies
433 Views
Hii kwangu naona nikukosa adabu.ata demu akinipa mechi huwa naipigia giza maana naogopa kuona uchi wake maana ni tabiya mbaya.
2 Reactions
15 Replies
231 Views
Lazima atakuwa tu na kasoro.maana tumeumbwa kupenda sio upweke.
3 Reactions
18 Replies
194 Views
Hapa dar ukisikia majina kama; mmari,munuo,kileo,mwanri,maimu,mushi ujue hizo namba ni za wilaya ya siha.watoto hawa balaa kwa urembo jaman.
6 Reactions
21 Replies
333 Views
Ingawa mimi nmetoka bongo sitaman kudate wa bongo maana wana maushamba sana na tena sio warembo kama wazungu wananiboa sana.wana show mbovu sana.
3 Reactions
40 Replies
623 Views
Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo nimetembea na wasomi 74. wadada wa bachelor degree 47, masters 21, PhD 6. Huenda ni kutokana na mazingira ninayofanya kazi lakini kwa experience yangu msomi wa degree...
4 Reactions
10 Replies
294 Views
Hakuna wa kupinga hapa Tanzania hamna kabla la kuwapinga wadada wakisuma kuwa ni warembo mno. na tena wasukuma ndoh waonajua mahaba kuliko kabila lingine hapa bongo.kama unabisha tukutane kwenye...
4 Reactions
34 Replies
553 Views
Tujitafakari! Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu...
1 Reactions
10 Replies
103 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…