Usaliti ni miongoni mwa mambo yanayoweza kuvuruga uaminifu katika mahusiano. Lakini swali linalobaki ni moja: Mtu akisaliti mara moja, anastahili kupewa nafasi ya pili?
Kwa baadhi ya watu...
Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa.
Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka...
Habari wakuu,
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.
Mimi nina...
Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti.
Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya...
Mume wako amemjaza mimba Mchepuko wake. Bila wewe kujua, kisha huyo mwanamke anafariki wakati wa kujifungua.
Mume wako anarudi nyumbani na mtoto mchanga na kwa huzuni Sana anakueleza kila kitu...
🔥MAMBO🔟 YANAYOPUUZWA NA WANAUME WENGI YA KUIMARISHA NGUVU KITANDANI💪
Huu ni utangulizi tu wa mada zinazofuata, nitaendelea kutoa ufafanuzi wa kina zaidi kwa mada moja moja katika masomo yaliyo...
Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ?
Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi...
Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.
Mimi babu yenu...
Watu wengi tumedanganywa na maneno kama, “Ulikuwa unaishi kabla hujamjua,” au “Umejuana naye ukubwani.” Maneno haya wakati mwingine yanatufanya tuwachukulie poa watu ambao tumekutana nao katika...
Nianzie hapa, kuna video ya dokta mmoja nilikua nasikiliza, maudhui yake ni kuhusu, Tendo la ndoa (sex).
Kwenye maelezo katikati mtaalamu alikazia kusema wakati wa sex, endapo mwanamke atakua hana...
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye...
Ndoa haivunjwi kila mara na kukosekana kwa upendo. Wakati mwingine huvunjwa na ego, kutokuelewana, kinyongo na kushindwa kujifunza kukua pamoja.
Ndoa yenye afya si ile ambayo haina migogoro, bali...
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
Ewe valuable man, acha kuwa kama simp...
Don't fall for breadcrumbs na mademu wenye wanatumika na kubadilishwa kama daladala za mbagala.
Amka na usifall kwa doormats na vidampa vya mjini. You're...
Kesho napeleka mahari Kwa Binti bikra wa miaka 18 ambaye nlitafutiwa na dadayangu
Kesho naenda kukabiziwa mke bila ndoa Kisha tufanye utaratibu wa kufunga ndoa
Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.
Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane...
Mimi ni kijana wa kitanzania na umri wangu ni miaka 33, na dini yangu ni Mkristo, Pia ningependa kuelezea mkasa huu ulionikuta ili kila mwenye kujifunza ajifunze kwani Jamii forums kuna wazee na...
Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu?
Je, mwanaume...
Mahusiano ya siku hizi yamekuwa kama vita vya mashambulizi ya kushtukiza. Hofu kubwa kwa watu wengi haipo tena kwenye kuchepuka, bali ipo kwenye kujulikana kwamba unachepuka.
Mtu anaweza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.