Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.
1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka...
“Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza…
kwa nini kwenye harusi au sherehe, wanaume huwa tunafika tunatoa pesa kama tumekuja kulipa deni la taifa? 😂
Kwa nini kwenye harusi au sherehe, ukiona watu...
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko...
kwenye picha nyingi za uchumba, , tunaona mwanaume akipiga goti moja huku akimvisha mwanamke pete. Hii imekuwa desturi inayotambulika katika tamaduni za Kimagharibi, ambapo kupiga goti huhusishwa...
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa...
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.
Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Sasa tamaa za kimwili zikizidi...
Swali la kama mume ana haki ya kumpiga mke wake linazua mjadala mkubwa katika jamii.
Baadhi ya watu bado huamini kuwa mwanaume anaweza kumchapa mke wake kama njia ya kumwadhibu anapokosea au...
Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Habari!
Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha.
Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli...
JE, TANZANIA KUNA HUDUMA YA “COMPANION FOR HIRE”? 🇹🇿
Nimekutana na huduma moja inayopatikana Japan ambayo imenifanya nijiulize kama kitu kama hiki kipo Tanzania.
Japan kuna huduma zinazojulikana...
Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka...
Nimekaa chini nimewazaaaaaa nimeona ifike mahali sasa nitulie nitakuja kukutana na mavampire ninyonywe damu nife,
Nilikutana na huyu mtu kitambo ila tulikua tuna flirt haikua ile serious,
Jana...
Happy Sunday JF Members.
Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa.
Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu...
Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗...
Mwanaume ukisha make it, usikubali kusettle na mwanamke ambaye hana kipato chake, hana direction, na hana abundant mindset. Sio kwamba kila mwanamke lazima awe tajiri au awe na pesa nyingi kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.