Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimefanyiwa upasuaji wa internal castration.mimi ni muasi wa ndoa na mahusiano nayachukia sana. nimelipia Tzs 2,500,000 kukamilisha zoezi nafurahia...
8 Reactions
56 Replies
912 Views
Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni...
12 Reactions
45 Replies
629 Views
Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha. Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?" Akajibu in like 3 seconds, kwa...
19 Reactions
60 Replies
1K Views
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah….. Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮‍💨 mzee alipanga kunipa pesa...
8 Reactions
25 Replies
390 Views
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto. Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai . Ukiwa...
12 Reactions
79 Replies
734 Views
Habarini wana jamvi? Vijana wa 2000 watundu sana, yani kila kukicha wanabuni style mpya za kunyanduana. Mara doggy style, mara frog, ila kifo cha mende ndo kila kitu. Yani burudani kabisa. Yani...
4 Reactions
15 Replies
359 Views
Naomba kwaajili ya afya yangu ya akili mniambie huyu ni baba anamwadhibu mwanae sio mume 😁
10 Reactions
75 Replies
627 Views
Wanawake wa kwenye ndoa huenda wanaongoza kwa kuchepuka Yaani kama wewe ni una mchepuko wa kiume jitahidi sana kutumia condoms. Wanaume wanawake zenu wanachepuka. Kuweni makini na kwenye hayo...
8 Reactions
83 Replies
1K Views
  • Redirect
Huo ndio ukweli, wadada wenye Big Nyash wengi wao wana mapenzi ya kweli na hawana tamaa ndogo ndogo kikubwa tu awe amekula ameshiba simu ina bando basi karidhika. Hawa flat mnaowasifia ni kweli...
1 Reactions
Replies
Views
1. Kupata usingizi wa kutosha 2. Kukaa na stress muda mrefu 3. Kukaa mbali na mwenza kwa kuda mrefu. 4. Kubadili mazingira ya kufanya tendo 5. Kuangalia movie za mapenzi 6. Kula chakula...
9 Reactions
29 Replies
531 Views
Asalaam waleyikum wanajamvi! Wakuu poleni na kazi na hongereni, malengo yetu nikufikisha pato la trilioni 1 kama taifa hivyo tusiache kuchapa kazi Wakuu nilikuwa na mahusiano na mdada huyu...
5 Reactions
47 Replies
550 Views
Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao...
17 Reactions
176 Replies
12K Views
Wakuu, niseme sijui bahati ama nyota ya kudate na mabinti wenye makalio makubwa pekee, Mimi ni kijana wa miaka 25 nimejigundua kuwa na nyota hiyo muda mrefu nimeamua niwaletee hapa, ndani ya...
5 Reactions
26 Replies
823 Views
Wazee mambo vip? Hivi kuna mtu bado anaweza kuingia twitter( X)sasa hivi ? Kama yupo naomba anipe maelekezo maana miezi ya nyumba tuseme mwezi uliopita nlikua naingia twitter (X) baada ya kuwasha...
3 Reactions
16 Replies
295 Views
Hongereni wenzetu kwa kupata, kununua, kuzawadiwa hizo bikra mimi sasa nimekubuhu kwenye miskrepa, used, mitumba na nikisema niendelee kuzisaka nitaingia huko kwa vitoto vya darasa la 6, 5 nitafungwa.
8 Reactions
52 Replies
642 Views
Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili...
3 Reactions
21 Replies
285 Views
Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28. Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani...
14 Reactions
60 Replies
899 Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
22 Reactions
2K Replies
283K Views
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
18 Reactions
126 Replies
1K Views
Back
Top Bottom