Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanakitongoji cha MMU, Bila shaka mu bukheri kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale basi tusikate tamaa kuzidi kuomba neema zake Mungu wetu! Bila kuchelewa nianze na mada husika...
18 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wana Jf iko ivi usidanganyike na muonekano wa mtu kwa nje kua kavaa kapendeza vizuri ukitaka kumjua mtu ni mstaarabu na msafi mfanyie suprise chumba anacholala hapo ndo utapata majibu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila jambo unaloliona linayumba duniani limetokana na makosa ya mwanaume kwa kuwa hata ukiangalia kwenye masuala ya Mungu,vitabu vitakatifu vinatuambia MUNGU ni baba,Yesu Kristo ni wa kiume,roho...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeona nimwombee ushauri jirani yangu namwonea huruma na kwakweli anateseka. Yeye ameolewa na wamebahatika kuzaa watoto wanne (4) tatizo linakuja kuwa mme wake hampi raha nyumbani wala...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wakuu, Hiki ni kisa kilichomtokea rafiki yangu na nilijifunza mengi kutokana na kisa chake cha mahusiano na naona ni vyema tuka share wengine pia wajifunze. Ilikua ni siku yenye kunyesha...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Kama lipo Eneo ambalo mataifa ya magharibi yamefanikiwa kujiharibu Ni swala la ndoa na familia. Walianza na usawa unaozidi hata mipaka ya vitabu vitukufu kwa wanawake Wakaja na usawa kwa watoto...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Za muda huu wana JF, Wanawake ni viumbe hatari sana huwa nikikumbuka natamani kulia. Story iko hivi. Nakumbuka kipindi nasoma nikiwa ordinary level nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Embu wakuu naomba wajuzi wanisaidie. Nina mpenzi wangu tupo naye kwa takribani miezi minne ila shida kubwa tunapokuwa tupo kwenye ku enjoy majamboz huyu mwenzangu kule chini kuna kuwa kama kukavu...
8 Reactions
240 Replies
22K Views
Jamani mm ni kijana mdogo mdogo tu ila naona nimeanza kufuatwa na pepo mbaya. Hapa ninapo kaa kitaa cha home kuna mwanamke ana umri kwa makadirio 22 amekuwa akinitaka kimwili yani kila nikikutana...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Pamoja na malalamiko kila siku juu yenu wanawake wa siku hizi mmekuwa kama sikio la kufa Pamoja na kupenda sana pesa na kuweka tamaa mbele kuliko upendo kinachonikera ni hichi wanawake wengi siku...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Ndoa ni asili ya baba yetu Adam na Hawa. Baada ya Adam kuumbwa kwanza na akawa ni mwenye kukaa muda mrefu akiwa peke yake. MUNGU akamuona kuwa ni mwenye unyonge mno, ndipo likaja wazo la kuumbwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadada punguzeni kujishindilia lipstick kwenye midomo yenu kama tope. Hii imetokea week chache zilizopita jamaa mmoja alitoka kwenye mihangaiko yake huko mjini kapanda mwendokasi iliyokua imejaa...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu, hapa sizungumzii yule beki tatu wangu niliyempa mimba na nikamuelezea ktk uzi huu Hatimaye yule beki tatu aanza kupata kichefuchefu, ndoa yangu matatani Nazungumzia general kwa hali ya...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Ukiwa kama mzazi unaweza kusupport kazi kama hii na kumpa mahitaji yote atakayohitaji mwanao ili kutimiza malengo yake?
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwanini? Wakamalia sugu ndoa zao huvunjika mapema hata kama anatoa kila mahitaji muhimu nyumbani. Sababu mimi nahisi pia kutokana na mawazo ya kupoteza kipato mara kwa mara wanashindwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Huu ndo ukweli wasiopenda watu kusikia. Wakati mwanamke wa kihindi unampata kwa kumuimbia nyimbo nzuri, kwa wabongo ni tofauti. Mwanamke wa kibongo ukimtaka yaani...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Huyu ni mpenzi wangu ambae tumedumu kama mwaka mmoja katika mahusiano yetu.Kama ilivyo kwenye mahusiano mengine yoyote kwamba kugombana na kupatana ni jambo la kawaida sana kwa...
2 Reactions
90 Replies
8K Views
WAZO LA LEO!! SI VIZURI KUDHARAU VITU ANAVYOCHAGUA MKEO, ETI ANACHAGUA VITU VYA HOVYO HOVYO NA VYA KIJINGA!!! KUMBUKA HATA WEWE NI CHAGUO LAKE!!! :);):)
13 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna bwana mmoja alikuwa na utajiri mkubwa sana. Alianza taratibu mpaka kufikia kutengeneza faida ya milioni 300 -400 kwa mwaka. Kitu kilichomsumbua bwana huyu ni kukosa mtoto wa kiume. Mtoto...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom