Wazazi wa kiafrica hawapendi kuwa 'support' vijana wao kwenye vipaji vyao

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
Ukiwa kama mzazi unaweza kusupport kazi kama hii na kumpa mahitaji yote atakayohitaji mwanao ili kutimiza malengo yake?

IMG-20180520-WA0017.jpg
 
Mambo mengine haya mtihani
Kuna member mmoja alihadithia humu kuwa alikuwa ughaibuni huko siku kakubaliana na binti wa kizungu wakakulane, bas kaenda ukweni kufika pale baada ya salamu binti kamualika chumbani kwake, wamebambiana bambiana huko hadi wakashikwa na mshawasha wa kuliamsha jamaa akawa anahofia wazazi wa binti wapo sitting room itakuwa sio njema, binti kamhakikishia hawana shida bas wakaliamsha pale sasa binti akawa anapiga mayowe ya kunogewa ile ile.

Walipomaliza ile wanatoka wakawakuta baba na mama sitting room mama anacheka balaa, baba kamuuliza binti yake vp ilikuwa tamu saana eti!? maana sio kwa miguno hiyo- binti kamwambia baba yake daah yaan baba sijawahi kukunwa utamu kama jamaa alivonikuna leo! wakabaki wanacheka na baba kampongeza jamaa wakati huo jamaa aibu imemshika hatari

Kiafrika hilo halipo hata kwa mtutu wa bunduki
 
Haha kiafrica huyo jamaa angerudi na jeraha kubwa la panga
 
Kabisa lakin umevuta taswira gani hapo?

Yani b mkubwa anakuchek na kukosoa performance yako
Mbona hata hapa Tz kuna watu wanafanya ivo mkioana siku ya kwanza mnaingia na wazee mnalisakata libeneke mbele yao na maelezo juu mnapewa
 
Hii ni jamii nyingine tofauti yenye utamaduni tofauti na jamii yetu.....tatizo limekuwa sisi tunapenda kuiga mambo ya jamii zingine na kuziingiza kwenye utaratibu wetu wa maisha bila ya kufikiria hata kama hayo mambo hayapatani na utashi wetu........

Jamii yetu imekuwa na kiasi kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kutokana na kuiga hayo mambo
 
Back
Top Bottom