Enyi wadau wa kike,
Hivi ni kweli mnaweza kumjua mtu size ya maumbile yake (uume) kwa kumuangalia tu kwa nje?
Kuna siku nilikuwa nimekaa sehemu nikawa namtania dada mmoja anipe mdogo wake...
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa...
Wanaume wengi siku hizi wamekuwa na tabia za kutaka kuishi maisha fulani hivi ya kitajiri wakati uwezo wa kufanya kazi hawana,wameamua kukimbilia kwa waganga kwenda kuzima nyota za wenzao,yaani...
Kuna Mzee mmoja nakumbuka alijitoa sana kunisapoti wakati nasoma Chuoni mpaka nkamaliza vizuri..wakati namaliza chuo narudi mtaani na yeye alikuwa na binti yake ndio kwanza alikuwa amemaliza form...
So I'm driving home (Yes this early) and I think;
Nina familia (mke na watoto). Siwezi kusema ni mkongwe kwenye ndoa, hapana ila nimekaakaa. I love my family. Nina mke mpambanaji, and yes she is...
Mimi wote tulikua wanachuo ila vyuo tofauti, sasa kutokana na umbali nikawa nikimjulia hali ananiambia sijisikii kula nikamuuliza kwanini anasema haelewi, akila chakula kinamuumiza.
Kumbe bwana...
Ilikuwa mwezi wa sita 2017, nilikuwa kwenye wakati mgumu sana baada ya kukutana sintofahamu ya mchumba wangu kujihusisha na maswala ya ushirikina, ilikuwa maandiko ya lugha kama ya kiarabu hivi...
Wapendwa marafiki.
Nimekaa nimewaza nikaona nitoe dukuduku hili.
Unajua kwanini wakaka mahandsome hawaoi?
Nawakioa asilimia chache wanadumu asilimia kubwa hawadumu kwenye ndoa.
Haya ndio majibu...
Yaliyopo yanaogopesha jamani
Yaani mwanaume wanatufanyia kila aina ya unyama.poleni sana wanawake wenzangu mliopoteza maisha.
Wanaume mnatuzalisha mnatuacha na watoto mnaanza kututukana masingle...
Kuna kitu kigeni kidogo kimenitokea jana ambacho kimenifanya niwaze sana ambacho sijakizoea kabla.
Ni kwamba kuna mtoto mkale sana nilimpata mwezi uliopita. Sasa akawa anazungusha zungusha...
Habari wana jukwaa letu pendwa, tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana. Kama mada juu inavyojieleza
Wanaume huwa na sababu nyingi za kuwataka wanawake kimapenzi, lakini kubwa kuliko yote ni tama za...
1. Usaliti na Visasi
2. Unafiki na Dharau
3. Kipato na Tamaa
4. Simu za Mikononi na Mitandao ya Kijamii
5. Kuabudu na Kuamini Umbea
6. Uwongo uliokithiri
7. Kupotoka Kiimani / Kiroho
Tiba yake...
Habari zenu MMU.
Kuna jambo nimeliona humu jamvini baadhi ya wanawake wakilalamika na kutuponda eti mwanaume unakuwaje na ngozi laini au legelege!
Sasa nyinyi wanawake mnataka tuwe na ngozi...
KILA kabila duniani huwa na utamaduni wao, ingawa wapo ambao hufuata tamaduni zao na wengine huzipuuza.
Utamaduni hutofautiana kutoka jamii moja na nyingine. Mfano; wakati India ikizoeleka kuona...
Habari wakuu
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mrembo wakulieazana wakati nikijiandaa kuachana na usingle.
Sifa;
Awe mkoani Morogoro
Awe na umri usiozidi miaka 30
Asiwe mke Wa MTU tafadhali...
Nilihis nina bahat sana kukutana na huyu msichana nilienae.. kwasabab ni mzur sana ni mrembo saana, ana akili ya maendeleo, ni mchangamfu, ni muelewa pia ni very social once u meet her.. she is...
Mahari ni zawadi kwa mujibu wa maana mbalimbali japo hutolewa kama lazima kwa uswazi kwetu huku.Duniani kuna kila aina ya maamizi kuhusu mahali.
Pengine wanatoa wanaume...
Pengine wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.