Wakamalia sugu ndoa zao huvunjika mapema

Wakamalia sugu ndoa zao huvunjika mapema

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,560
Reaction score
5,244
index.jpg

Kwanini?

Wakamalia sugu ndoa zao huvunjika mapema hata kama anatoa kila mahitaji muhimu nyumbani.

Sababu mimi nahisi pia kutokana na mawazo ya kupoteza kipato mara kwa mara wanashindwa kuperform bed na ndio chanzo cha ugomvi na mkewe
 
unashika simu upo zako livescore unatabasamu
mwenzio anafikiri anaibiwa

keka limechanika umekasirika
mke anawaza umemnunia yeye
 
h
unashika simu upo zako livescore unatabasamu
mwenzio anafikiri anaibiwa

keka limechanika umekasirika
mke anawaza umemnunia yeye
unakuta mkeka umeweka kwa pesa ya luku waliochangisha wapangaji wakakupa ununue umeme
 
hizi sredi za vijana kazi ipo..
hakuna mwana ndoa aliye mkamalia sugu..
huwezi ku gable kila kitu...ukiona umeoa na bado umekomaa maisha ya bahat nasibu ndoa itakushinda maana hujapevuka bado..
 
Back
Top Bottom