Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
Wakuu, hapa sizungumzii yule beki tatu wangu niliyempa mimba na nikamuelezea ktk uzi huu
Hatimaye yule beki tatu aanza kupata kichefuchefu, ndoa yangu matatani
Nazungumzia general kwa hali ya kawaida km mwanamume umempa mimba mwanamke ambaye hukuwa ukimpenda na hukuwa na malengo nae, na wewe bado hujaoa, ni lazima umuoe?
Kuna ulazima wa kumuoa?