Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aina 10 ya wanawake duniani 1.Mke sherehe(party wife) hawa muda wote wanawaza shereh na starehe utawasikia kesho sendoff mara kichen party wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajiri kuchangia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
#FAHAMU Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uganda na mgombea urais, Amama Mbabazi amekataa mahari ya ng'ombe 100 iliyotolewana Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kwa ajili ya mtoto wake kumuoa binti...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
I'm really sorry guys i didn't know if it was going to be that much productive. with due respects thanks in advance....
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Unapokuwa na mwanamke usije ukajidanganya kujaribu ata kumuamini pengine ata kama unaona mmefikia hatua nzuri ya kujengeana uaminifu nilichogundua hawa wenzetu huwa wanaweza kutoa maamuzi muda...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Jamani kwa ufupi tu; Kuna mkaka nimekuwa namchuna long time bila kumpa mzigo. So sikukuu hii nikampiga mzinga wa tv ya samsung flat screen jana akaninunulia nadhani kwa shingo upande tu. So kwa...
29 Reactions
210 Replies
18K Views
IMEKUWA ni jambo la kawaida kusikia ama kushuhudia mtu akiamua kujitoa uhai ama kumtoa uhai mpenzi wake kwa sababu ya mapenzi siku hizi. Katika visa viwili vikubwa vya wiki chache hizi, moja huko...
4 Reactions
44 Replies
13K Views
Watu wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wanapenda kwa dhati au wanajilazisha? Ili kutambua upendo wako jipime kwa maswali yafuatayo: 1 - Unapoamka asubuhi wazo la...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Yaan kweli ni raha sana maandalizi yanavyofanyika mpaka kufika maamuzi ya kufunga ndoa Bajet ya kufunga ndoa ni 25,000,000 za Tanzania yaan 11,000 USD
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii haijakaa poa mtu kupenda mwanamke/mwanaume kwa na kuridhika tu na uzuri wa mhusika bila kutambua upande mwingine. Je, huyu mtu yuko vipi? Wewe unajipeleka tu, baada ya ndoa ndo anaanza...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
wivu wa mapenzi ni kitendo mara nyingi kinachangiwa na kukosa kujiamini au kutomuamini mwenza kwako. tumeshuhudia matukio mengi ya kuua ama kujiua kwa wapenzi au mpenzi katika sehem mbalimbali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda, je unaweza kumuacha mtu kwasababu ya eneo analoishi? Na kama ndivyo, ni eneo gani la makazi katika jiji la Dar es Salaam ambalo mwenzi wako mtarajiwa akikuambia anaishi...
6 Reactions
296 Replies
20K Views
Watu wengi hawajui kwa nini wanaume wengi wanaua wapenzi wao, sababu kubwa ni kua na mke mmoja au mpenzi mmoja na kumuamini na kumpenda. Wanaume tuko weak emotionally kuliko wanawake, tuko strong...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.
10 Reactions
218 Replies
9K Views
Clean punani, no asking for money" - South African man shares photos of his girlfriend, lists advantages of dating white women A South African man, Josey Ncube is under fire for making...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Asikudanganye mtu eti asali mbichi au juice ya ukwaju jamani hebu poteza kazi uone kama mkuyenge utasimama rafiki yangu baada ya kupata redundancy hana nguvu za kiume
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale...
21 Reactions
203 Replies
14K Views
Wakuu habari za weekend, natumai mko vyema na mapumziko na wale ambao mpo kwenye majukumu natumai mnaendelea vizuri. Sasa kuna ishu hii huwa naiona kwa wadada yani mfano unatembea njiani af...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
waswahili walisema "kubeba mimba si kazi, kazi kulea mwana" msemo huu kama huwezi pata nafasi ya kuutafakari unaweza ona ni mwepesi sana. kipindi kirefu sasa kama mwaka nimekuwa napata wakati...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha. Sasa ninyi endeleeni na vizinga...
16 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom