Rangi ya mdomo (lipstic) yavunja ndoa

Rangi ya mdomo (lipstic) yavunja ndoa

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,625
Reaction score
38,751
Wadada punguzeni kujishindilia lipstick kwenye midomo yenu kama tope.

Hii imetokea week chache zilizopita jamaa mmoja alitoka kwenye mihangaiko yake huko mjini kapanda mwendokasi iliyokua imejaa kiasi,kadri inavyopita kwenye vituo ndio ilizidi kujaa kwa wale mnaoishi Dar mnajua kabisa kupanda gari za abiria kwanzia mida ya jioni ni kisanga kwenye jiji la Dar es Salam.

Jamaa hana hili wala lile kaning'inia kwenye bomba kumbe kuna mdada alipanda magomeni mwembechai akasimama mbele yake kimo chake alikua anamfikia jamaa kifuani, dada huyo alikua amejikandika lipstick za kutosha, kumbe kadri dereva wa mwendokasi anavyokanyaga break kwenye mataa na vituo kusimamisha gari ile force inampush dada kifuani kwa jamaa na anaacha mark(alama) za midomo kwenye shati la jamaa jamaa yeye hakujua wala kuona chochote hata hizo lips mark hakuziona.

Jamaa kafika Baruti kashuka kapitia gengeni kanunua matunda na zaga ndogondogo za kula nyumbani baada ya hapo akaamua kupitia bar moja hivi inaitwa Hawaii akashtue mbili tatu ndio aende nyumbani.

Kufika nyumbani mke akampokea kama kawaida gafla mke akabadilika jamaa hajui hili wala lile akapigwa swali," huyo mwanamke unaetembea nae huko kazini ni mzuri sana" basi ndio utakuja kuishi nae mimi naondoka mwanaume malaya wewe, si ungebadilisha shati kwani lazima unionyeshe unamwanamke nje bla bla bla blah mpaka penzi likafika tamati japo sio kwa siku hiyo hiyo ila hizo mark ndio zilianza kuiyumbisha ndoa.


Dada zetu acheni bana kujikandika yale madude kwanza wengine mnakua kama majini[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]

Nimeweka picha kabisa kuepusha comments za uzi bila picha haunogi[emoji41]
img_comment_enlever_une_tache_de_rouge_a_levres_sur_un_vetement_11922_orig.jpg
images%20(1).jpg
 
wadada punguzeni kujishindilia lipstick kwenye midomo yenu kama tope.

Hii imetokea week chache zilizopita jamaa mmoja alitoka kwenye mihangaiko yake huko mjini kapanda mwendokasi iliyokua imejaa kiasi,kadri inavyopita kwenye vituo ndio ilizidi kujaa kwa wale mnaoishi dar mnajua kabisa kupanda gari za abiria kwanzia mida ya jioni ni kisanga kwenye jiji la dasilamu,jamaa hana hili wala lile kaning'inia kwenye bomba kumbe kuna mdada alipanda magomeni mwembechai akasimama mbele yake kimo chake alikua anamfikia jamaa kifuani,dada huyo alikua amejikandika lipstick zakutosha,kumbe kadri dereva wa mwendokasi anavyokanyaga break kwenye mataa,na vituo kusimamisha gari ile force inampush dada kifuani kwa jamaa na anaacha mark(alama) za midomo kwenye shati la jamaa jamaa yeye hakujua wala kuona chochote hata hizo lips mark hakuziona.

Jamaa kafika baruti kashuka kapitia gengen kanunua matunda na zaga ndogondogo za kula nyumban baada ya hapo akahamua kupitia bar moja hivi inaitwa Hawaii akashtue mbili tatu ndio aende nyumban.

Kufika nyumban mke akampokea kama kawaida gafla mke akabadilika jamaa hajui hili wala lile akapigwa swali," huyo mwanamke unaetembea nae huko kazini ni mzuri sana" basi ndio utakuja kuishi nae mimi naondoka mwanaume malaya wewe,si ungebadilisha shati kwani lazima unionyeshe unamwanamke nje....bla bla bla blah mpaka penzi likafika tamati japo sio kwa siku hyo hyo ila hizo mark ndio zilianza kuiyumbisha ndoa


Dada zetu acheni bana kujikandika yale madude kwanza wengine mnakua kama majini[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]

Nimeweka picha kabisa kuepusha comments za uzi bila picha haunogi[emoji41] View attachment 784436View attachment 784438
Yaani ni shida, utafikiri alikuwa anakula rangi?
Pole yake jamaa!!
 
Mnawapa kazi sana wadada wa ofisini wanaosuza vikombe na glass.Unakuta binti kamaliza kunywa chai kina rangi nyekundu mpaka unajiuliza hi nini.
 
Mnawapa kazi sana wadada wa ofisini wanaosuza vikombe na glass.Unakuta binti kamaliza kunywa chai kina rangi nyekundu mpaka unajiuliza hi nini.
Zile wakipaka wakorea au wachina wananoga sana

Ila kuna dada zetu wakipaka unaweza kuwakimbia,halafu ukute anatoa kajasho kauso na pua [emoji23]
 
Hiyo lipstick kwenye mbona haifanani kama amepakwa kwenye Mwendokasi. Lipstick za mwendokasi zinawapata Wanaume mgongoni au Mikononi. Ila hiyo hapana.
Aaah hizo picha za demonstration tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom