MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,836
- 881
Nimeona nimwombee ushauri jirani yangu namwonea huruma na kwakweli anateseka.
Yeye ameolewa na wamebahatika kuzaa watoto wanne (4) tatizo linakuja kuwa mme wake hampi raha nyumbani wala chumbani, kwani anawanawake wengine wa pembeni (michepuko), sasa anaona ndoa imekuwa chungu tafadhali njoo umpe ushauri ili umwokoe.
Njia gani atumie kumtuliza mumewe au achukue maamuzi magumu. Lengo ni kuiokoa ndoa ya huyu jirani na utabarikiwa sana kwa kuokoa ndoa hii.
God bless you