Emok Jr
JF-Expert Member
- Mar 17, 2018
- 1,094
- 800
Jamani mm ni kijana mdogo mdogo tu ila naona nimeanza kufuatwa na pepo mbaya.
Hapa ninapo kaa kitaa cha home kuna mwanamke ana umri kwa makadirio 22 amekuwa akinitaka kimwili yani kila nikikutana naye ananismbia njoo nyumbani nina zawadi yako!!
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje juu ya hili tatizo kwani huyu mwanamke ananizidi umri sana tu?