Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baba yake Jacob alikuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa. Yeye na mke wake walifanikiwa kumpata Jacob mwaka mmoja baada ya ndoa yao. Uzazi uliwaliwakimbia baada ya hapo lakini hayo...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau hivi ni kweli watu wenye jinsia mbili wapo au ni hadithi za kusadikika? Kama umewahi kutana nao tupe kaushuhuda kidogo ikiwezekana na kapicha kama kapo? Nawasilisha
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kisemavyo, Nimekuja tambua kuwa wanawake wanaovalishwa pete za uchumba wanakuwa na 'furaha' sana, unawakuta mitaani ananyoosha kidole chake kuhakikisha pete...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Jacob alikuwa mwanafunzi wa A stars. Mama yake alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Tangu yuko darasa la kwanza alishafundishwa jinsi ya kutunza mazingira anayoishi. Jacob aliweza kufua, kupiga...
14 Reactions
188 Replies
14K Views
NIMEOA na mke wangu tuna miaka miwili ni mjamzito. Tangu awe katika hali hiyo tumekuwa tukigombana karibu kila siku kwa mambo yasiyo na maana, kusema kweli ananiudhi na ninatamani nimwache niende...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mfano mimi ni Mkristo halafu nikakutana na binti wa Kiislamu nikampenda na nikaona anafaa kuwa mke.Nitalazimika kusilimu na kuwa Muislamu ili niweze kumuoa mwanamke huyo. Kwanini ? Kwasababu...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakina dada mnatunanga sana kwamba wanaume siku hizi hatutuliii ata kama mkitupa vyote tutakavyo kunako 6 kwa 6. Unajua tatizo siyo sisi wanaume tatizo ni nyinyi kwa nyinyi wanawake ndio maana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna haka kajitabia ka wakina dada ambapo mara baada ya kugundua kwamba una mke anaanza kukulaumu na kuuliza hili swali "Kwanini hukuniambia ukweli toka awali ?" kitu ambacho ni kigumu sana kwa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Hi Ladies, I hope you are all doing fine. Hivyo ni jambo la kumshukuru Mungu. Dada zangu mmekuwa mkijisahau sana katika maisha kwa kupenda vitu vya gharama kama simu za millioni wakati huna...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwako mpendwa mme wangu mtarajiwa popote ulipo Najua una sifa zifuatazo na nina imani sifa zote hizi ni zako kabisa na ninakusubiri najua sio muda mrefu tutakuwa pamoja. 1.Hauna simu ya smart...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Holla.... This is what Kasie do when she is in need .... and when she is in love..... Honey.... and I know I won't be travelling for a life time. ..... Just hold out and do what I do when I...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimefanya tafiti zangu kwa baadhi ya walioko kwenye mahusiano ambao wanasema wamechokana bwana kamchoka bibi au bibi kamchoka bwana,, nilichogundua na kujifunza ni kwamba siyo mtu kumchoka...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Walimwengu nijulisheni rubii kaenda wapi...namtafuta sana bila chembe ya mafanikio. Naombeni kama mnajua aliko..mjulisheni wandugu...namtafuta sana mrembo rubii
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi ni dogo au shemeji ndio aliimba huu wimbo nimempenda sana kwa tenzi zake. NI muda watu wajue kuwa wenye hela sio kwamba wake zao hawamegwi wanamegwa nje vibaya mno. Ila kinachomrudisha...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Je hii kauli inaukweli? Mimi kwangu naona haina ukweli wowote kwasababu bablish hairudiwi mara mbili.
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari wana jamvi ! Mimi ni kijana wa kiislamu nimesoma mpaka Master's Degree ni mtumishi wa Umma . Ninaishi Dar .Natafuta mwanamke mwembamba mrefu awe mweupe au maji ya kunde.kwa aliye tayari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo, kama uko tayari karibu PM zote zitajibiwa 1. Uvaaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf leo ningependa watu ajue sifa za mwanaume halisi coz kuna mtu anajiita mwanaume ila hana sifa za kiume. Zifuatazo ni sifa za mwanaume wa kweli. Mwanaume wa kweli anakua na...
0 Reactions
159 Replies
10K Views
Muwazima naamini. Acha leo tupeane tipu za maisha, madogo mpoooo! Twende hivi,watu wengi sana wanalalamika kuumizwa katika mahusiano. Hii ni asili ya binadamu wote isikutishe wala nini. Ok Jambo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom