Mimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila...
Wanaume (mmario) .
Ukitunzwa na mwanamke ni sawa na kimdoli chenye kidudu kinachotawaliwa kama nini.
Msidhani wanawapenda wanawatumia tu kama wanaume wenye nazo kama chambo basi tu mnavyotufanyia...
WanaJF nawaamkua!!
Nimekosa Title ya Thread.........
Nimekaa hapa jioni hii nasoma Parents Issue no 299 ya June 2011; pg 56 Article iliyoandikwa kwenye Section ya "Men Only" kuna makala...
Asaalam MMU.
Niende moja kwa moja... ni mara nyingi katika mahusiano yetu zinatokea sintofahamu na mikwaruzano lukuki, iwe ni kwa wanandoa ama wachumba tu.
Unaamua kujishusha weee lakini bado...
.......
Nakuhitajiii popote wee ulipoo. ...
Mimi bado nakupenda.
Kwa karibu miezi 4 nimekuwa natingwa sana na majukumu hivo hata mahabat wangu na pishana nae kama askari kanzu.
Sasa ule...
Salaam kwenu waungwana,
Nina changamoto ambayo sijui ninaitatuaje mkasa upo kama ifuatavyo;
Ninae rafiki yangu wa dhati sana tangu kitambo kile tungali wadogo mpaka umri huu wa utu uzima...
Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake sisi bwana.tunapenda sana wanaume weusi.ila mtu akishapata mimba utasikia analalamika sijui mwanangu atakuwa rangi gani? Sijui atakuwa mweusi kama baba yake?
Sasa jamani tunavodate...
Habari wana jamvi__km heading inavyojieleza kumekua na misemo mbalimbali kwamba pindi mwanamke anapokua ametoka kujifungua na yupo ktk ulezi wa hiko kichanga kumekua na maneno kwamba mwanaume...
Habari hii, sasa niambeni ushauri,
Kila nikilala namuota dada yangu, mtoto wa baba mkubwa tunafanya mapenzi, najiuliza kwanini, kila nikijaribu hata kumchukia nashindwa kabisa.
Haipiti siku nne...
Hivi ni kwangu tu au na nyie uko yanawatokea,
Mwaka 2014 niliachana na demu mmoja ni sekretari wa alokuwa mgombea urais kupitia chama Fulani vile vya mwisho mwisho lakin siyo CCM wala CHADEMA...
Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha...
KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...
lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.
sasa anadai...
Kucheat inauma sana miongoni mwa wenye kuwa na mahusiano ama katika ndoa au Boyfriend na Girlfriend.
Lakini mara nyingi inakuwa ni jambo ambalo haliepukiki kulingana na mazingira, yapo mazingira...
Hamjambo wakubwa na wadogo,
Nianze mimi ninatafuta kuwa na mke wangu niishi na kuzaa nae, tatizo ni kuwa nina wasichana wengi sana marafiki wa karibu tena warembo na nimeshindwa kabisa kuchagua...
Kuna baadhi ya wazazi ukishampa mwanae mimba ni lazima umuowe.
Kwa wale walishawahi kutana na hi hali njo tupe hebu ushuhuda vipi ndoa ya hivi zinadumu au zaeleweka.?
Mana wapo wanaosema mimba ni...
I Wakuu,
Ujue hawa kina dada wanakua wasumbufu sometimes ktk suala zima la kutoa papuchi.
Ingawa ni wasumbufu, wapo very weak na unaweza kuwagegeda kwa trick ya kitu kidogo tu.
Kama dem...
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauri, katika umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. Hali hiyo inamtia hofu.
Mdugu zangu wana JF na kitongoji...
Habari za mchana wana MMU,
Leo naleta bandiko humu ndani kwa ajili ya ushauri. Jana mida ya mchana nilitoka nikaenda bar fulani maeneo ya Songea nikaagiza pepsi taratibu nikawa nashushia na nyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.