Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Kila jambo unaloliona linayumba duniani limetokana na makosa ya mwanaume kwa kuwa hata ukiangalia kwenye masuala ya Mungu,vitabu vitakatifu vinatuambia MUNGU ni baba,Yesu Kristo ni wa kiume,roho mtakatifu hivyo hivyo,ndio maana utatu huu mtakatifu umekuwa na misingi imara sana KWA KUWA UNATIMIZA MAJUKUMU YA KIUME.Mambo ya kuwaacha wanawake watutawale haya ndiyo yanaleta ulimwengu huu ujute,acha kumpa mwanamke majukumu makubwa kwa kisingizio unampenda,akili zao zina change hawa.Nimeongea hivi kwa kuwa jirani yangu kamwachia mwanamke wake wake ofisi ya vifaa vya ujenzi kitu alichokikuta anakijua yeye,kisa anamuamini mwanamke
Ukija na povu,nina mapipa kibao ya maji
MWANAUME AKIKOSEA WATU HUANGAIKA SANA
Ukija na povu,nina mapipa kibao ya maji
MWANAUME AKIKOSEA WATU HUANGAIKA SANA