Queen Kasse, Juwata Jazz Band, special dedication kwako

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,987
156,263
33077911_10155903049229051_3407640422879592448_n.jpg

kaka yangu kafariki, chonde mtoto wetu,
mke na watoto utarithi wewe, ili ukoo wetu usipotee
ooh baba na mama mnisikilize kwanza,
kwa haya nitakayosema naomba mnikubalie
kurithi ndoa ya kaka kwangu mimi ni vigumu
na kumuacha queen Kasse ni vigumu pia
sikatai ombi lenu , bali ninajishauri ,
kumuacha queen Kasse kwangu mimi ni muhari
maneno mliyosema enyi wazee wangu ,
mimi nimeshindwa ooh Jamani eenh
kaza Moyo !
Queen amejaa rohoni mamaa ,Queen amejaa rohoni mamaaa
sikatai Ombi Lenu bali ninajishauri
kumuacha queen Kasse , kwangu mimi ni Muhari
kwahayo uliyosema , wazazi tumesikia ,
lakini kumbuka kwamba , shemejio na watoto
ni ukumbusho wetu kwa marehemu kaka yako
sikatai Ombi lenu , bali ninajishauri,
kumuacha queen Kasse kwangu mimi ni muhari
Naahidi mbele yenu, watoto nitawatunza
Na hata mama ya Wajadi simtupi kamwe
Lakini Kassee , Kasee lakini Queen Kasege niko nayee
sikatai Ombi lenuu , bali ninajishauri,
kumuacha Queen Kasse kwangu ni muhari
 
Ugonjwa nuksi sana huu.. mki share tu unao
Ni balaa
Walichelewa kama wangewahi tungekuwa bado tupo nao
Bongo flava na movie nanihi nao naona wamerithi ni wakati tuuu tutaanza kukumbuka enzi za nanihiii wao ilikuwa hiviii
 
33077911_10155903049229051_3407640422879592448_n.jpg

kaka yangu kafariki, chonde mtoto wetu,
mke na watoto utarithi wewe, ili ukoo wetu usipotee
ooh baba na mama mnisikilize kwanza,
kwa haya nitakayosema naomba mnikubalie
kurithi ndoa ya kaka kwangu mimi ni vigumu
na kumuacha queen Kasse ni vigumu pia
sikatai ombi lenu , bali ninajishauri ,
kumuacha queen Kasse kwangu mimi ni muhari
maneno mliyosema enyi wazee wangu ,
mimi nimeshindwa ooh Jamani eenh
kaza Moyo !
Queen amejaa rohoni mamaa ,Queen amejaa rohoni mamaaa
sikatai Ombi Lenu bali ninajishauri
kumuacha queen Kasse , kwangu mimi ni Muhari
kwahayo uliyosema , wazazi tumesikia ,
lakini kumbuka kwamba , shemejio na watoto
ni ukumbusho wetu kwa marehemu kaka yako
sikatai Ombi lenu , bali ninajishauri,
kumuacha queen Kasse kwangu mimi ni muhari
Naahidi mbele yenu, watoto nitawatunza
Na hata mama ya Wajadi simtupi kamwe
Lakini Kassee , Kasee lakini Queen Kasege niko nayee
sikatai Ombi lenuu , bali ninajishauri,
kumuacha Queen Kasse kwangu ni muhari

Bujiii huyo muimbwa ni Kasie au makassy? ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom