Nimefikiria hili jambo nikagundua laiti mahari yangekuwa yanakopesheka wasichana wengi wangekuwa kwa waume zao maana kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahari,na kuna waliobaki na pete za uchumba...
Ukimtumia mama yako shilingi elfu kumi
atakwambia,"mwanangu Mungu akubariki
sana akuzidishie hapo ulipotoa pajae tena"
Wale wengine sasa ukimtumia shilingi elfu ishirini kinachofata ni...
Hii ni kawaida kwa wale wote wanaokuja hapa kujipambanua kutafuta wenza kuna hili swala huwa hamtaki kulitangaza kwanini?
Swala lenyewe ni mtu mwenye kutafuta mwenza mwenye kitambi awe mume/mke...
Wakuu,
Hivi kuna uwezekano wa mwanaume ambaye ni mkamilifu kimwili na kiafya, hana shida yoyote akakaa siku nzima bila kuwaza ngono? Binafsi mimi nimeshindwa, kwa siku nawaza ngono mara nyingi...
Hi!
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.
Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa...
Kama Boyfriend wako anakusaliti, usihangaike my sister kwa sababu hutashinda. Epuka pressure dadaangu.
Wewe badili namba za wasichana kwenye simu yake. Usifute namba za demu zake bali...
Habarini wajumbe
Kumekua na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia haswaa kwa watoto na wanafunzi katka mazingira mbali mbali ambayo yanaipa taswira hasi jamii yetu.
Hivi binadamu wa sasa hivi...
Inatokea mwanaume mmejuana juana siku mbili tatu anajifanya anakujua anaanza kupanga ratiba ooh miss kesho weekend nataka twende Bagamoyo tukagegedane watu wengine tumepinda nasema poa poa...
Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?
Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina...
Shost ana nyumba na ana wapangaji. Nyumba hii iko huku kwetu Kwamtogole. Katika wapangaji wake kuna vijana wanne kutoka mkoa flani ambao ni wapangaji wa chumba kimoja wapo mwaka wa 20 huu...
Wakuu leo nilitoka out na my love na ndo tuna mwezi 1 ndani ya penzi.Yeye alikua na best yake,alikuja kunitambulisha kwake.
Cha ajabu tunakaribia kutoka club,kuna wanaume watatu walikua...
Hili swala linatokea sana katika jamii zetu, hasa wale wanao oana ndugu. Unakuta genes zinaingiliana na watoto huzaliwa na ulemavu. Hii mada ni nzito kidogo itagusa hisia za wengi.
Ninafahamu...
Habari waungwana.
Siku hizi mahusiano yamekuwa changamoto. Hizi ni taarifa za ukatili kaatika ndoa ndani ya wiki moja tu. Tatizo hasa ni nini?
Hata hivyo, wataalamu wa utatuzi wa migogoro...
Habari wadau,
Nimelitafakari hili swala kwa muda sana, nimeshakuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti ila hawa wa nne nilikuwa nao deep naweza kusema nina history nao na mmoja nimezaa nae...
Habari wana JF,
Kuna rafiki yangu ana mahusiano na binti ambaye hamfahamu wanafahamiana kwenye picha tu za kutumiana, kwa sasaivi wako kwenye mahusiano zaidi ya miaka 3 mpaka sasaivi.
Ila...
Yani unakuta lmwanaume lamepanda bodaboda limemkumbatia kabisa dereva bodaboda, mikono ameweka kiunoni amelegea kabisa na kumlalia dereva mgongoni.
Unajiuliza huyu mtu anamke na watoto kwanini...
kutokana na dunia hii kuzunguka kwa kasi ya ajabu mambo mengi kwa kweli yamebadilika. hali ni mbaya si mjini si kijijini. hasa kutokana na taarifa za kuwa huko mwanza nako watoto wa kiume wameanza...
Wanaume wote Mungu awabariki sana, maana mna mioyo ya kipekee sana kwenye mahusiano;
Nilishasimuliwa na nikaona kwa macho yangu mwenyewe, vijana wanawapenda wapenzi wao mpaka kufikia hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.