RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,446
Anakulipia ada.
Analipa kodi ya nyumba..
Analipa hela ya hostel unaposoma
Ukiomba hela ya kujikimu anakutumia haijalishi una mkopo au laah!
Mke wake naye anamtunza kwa kumvisha na kumpa hela za kusuka kila wiki.
Wakati yeye nguo aliyonunua mwezi uliopita hata miezi miwili iliyopita hajawahi fikiria atanunua nguo nyingine mpya.
Never disrespect that man.
Ni hayo tu
UPDATE: hii mada si kwa Ajili ya Wababa Waliokimbia Majukumu yao...