Baada ya mtongozo, kanichunia hata salam hamuna!

Baada ya mtongozo, kanichunia hata salam hamuna!

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,664
wakuu

Niliamua kumtongoza mfanyakazi mwenzangu, hali imekuwa tofauti kanuna kabisa no salamu hataki kunisikia wala kunioa, ikitokea tunakutana hata kwa bahati mbaya husubiri au hata kujificha akisubiri nifanye yangu ndio nae afanye shughuli zake, nimuonavyo yaani anatamani hata kuama ofisi
Hapo awali nilikuwa siko na mazoea nae zaidi ya salamu tu no more story.... lakini mtongozo ule tu tena hata sio wa kumganda sana maana nillikwisha comply na majibu yake nikachukulia poa maisha yaendelee lakini yeye yuko hivyo tu full minuno na mimi kwa jeuri namsalimia daily tena mbele za watu kwa bass kubwa

kiumri yuko matured mtu mzima kabisa, sijui anatizo gani maana kwa umri wake hakupaswa kunichukia sababu tu ya mtongozo tena usio wa kulazimisha!

Hii ni utoto ndani ya mtu mzima au?
 
Hiyo inatokea often ila kuna wengine baada ya mtongozo wanakua benet na wewe salamu kwa sana yaani.

Ila huyo nahisi kabisa alikuwa hana jibu la moja kwa moja kukubali au kukataa. Pia inawezekana anakuogopa sana, Hofu yake kwako ni the way alivyokataa wakati anakupenda...!!!

Jaribu kujiweka karibu na wewe zaidi ili mjenge mazoea ya kirafiki utajua tu kama mbivu au mbichi.
 
Back
Top Bottom