Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,807
Kama mada inavyojieleza
Kuna mdada hapa jirani nlimtongoza na akakubali
Mapenzi yakaanza full chating,na kila aina ya vikorombwezo
Ikafika wakati wa kuomba papuchi,ntoto akaanza mapozi na kunizungusha zungusha.
Mi mwanaume damu inachemka nikaona ananizingua nkatafuta papuchi nyingine,nikafanikiwa kumpata ntoto mmoja mbichi kabisa tena nikamkuta na bikra yake ndo nipo nae
Sasa huyu demu jirani baada ya kuona nimempotezea na kuona nina demu mwingine kaanza kuninunia na sasa hata salamu hakuna,yani nahisi kajenga chuki mbaya juu yangu.
Nyie wadada mjue ukijifanya kuringa utabaki na maringo yako wanawake mko wengi so acheni mapozi ya kipuuzi.