Hatimaye nimeachana na single mom wangu

Hatimaye nimeachana na single mom wangu

ChimeraX

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,317
Reaction score
2,913
Miezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4.

Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na alinipenda sana hadi nilikuwa nashangaa huyo mshikaji aliyempa mimba akamkimbia alikosa nini?

Utata ulikuwa unakuja mie kanizid umri miaka miwili na ana mtoto, kiukweli hata home walikuwa hawanielewi kabsa kwamba kwa nini nataka kuoa mwanamke aliyezalishwa akaachwa japo sikuwah kumwambia kuhusu hilo.

Kingine jamaa lake lilianza kumtafuta eti linataka lije limuone mtoto japo yeye hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Nimeachana naye baada ya kuona itakuja nicost siku za usoni kwahyo nimempasukia ukweli kwamb kwa hyo situation hatuwezi oana so awe huru akipata mwingine
 
Kabla ya kuanza kupendana nae hukuyajua hayo? Hivi bado kuna watu wanapangiwa na watu wa "home" wapenzi wa kuwaoa?!

Wewe ni mtu usiyejiamini na huna maamuzi yako bali maisha yako yanapangwa na wengine,yaani una akili za kushikiwa!
 
Wewe hujielewi
 
Nipe namba yake pm mkuu mie nnahitaji sana mwanamke wa dizain hyo nisaidie kaka niko chini ya miguu yako!!
 
Miezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4.

Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na alinipenda sana hadi nilikuwa nashangaa huyo mshikaji aliyempa mimba akamkimbia alikosa nini?

Utata ulikuwa unakuja mie kanizid umri miaka miwili na ana mtoto, kiukweli hata home walikuwa hawanielewi kabsa kwamba kwa nini nataka kuoa mwanamke aliyezalishwa akaachwa japo sikuwah kumwambia kuhusu hilo.

Kingine jamaa lake lilianza kumtafuta eti linataka lije limuone mtoto japo yeye hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Nimeachana naye baada ya kuona itakuja nicost siku za usoni kwahyo nimempasukia ukweli kwamb kwa hyo situation hatuwezi oana so awe huru akipata mwingine
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Sema ukweli mkuu! Unaonekana kabisa kwamba huyo mwanamke ndo kakuacha wewe,tena huwenda ni kwa sababu amekuona ni kijana ambae hujatulia.
Mkuu hana udhubutu wa kuniacha hadi leo nikiomba gegedo ananipa
 
Ni
Kabla ya kuanza kupendana nae hukuyajua hayo? Hivi bado kuna watu wanapangiwa na watu wa "home" wapenzi wa kuwaoa?!

Wewe ni mtu usiyejiamini na huna maamuzi yako bali maisha yako yanapangwa na wengine,yaani una akili za kushikiwa!
Nilijua mkuu sema ni tamaa tu, si unajua kichwa cha chini kikiamua
 
Kabla ya mechi kuanza mpinzani kashapewa goli moja,mechi za hivo ngumu sana.
 
Kwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Wengine tuna mioyo midogo mkuu ukiwaza njema iliyomzalisha bado ipo unakuwa unavuta pcha kama vile inamla tena

Tena huwa zinatumia vigezo vya kumuona mtoto
 
Back
Top Bottom