Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Siku hizi imekua kawaida kwa wanawake pindi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameshakula au laa ile ya kimahaba mara nyingi majibu yanayotoka utasikia "sijala baby".Ukishaambiwa hivyo mwanaume kama huna kitu mfukoni kwa siku hiyo usijisumbue kumuuliza kwanini hujala mana kitakachofuata hapo ni mzinga wa kiwango cha standard gauge.

Yani hata kama ameshakula na ameshiba bado atachukulia advantage ya swali lako kama njia muafaka ya yeye kukupiga mzinga wa pesa ukiamini kwamba huenda hajala kweli.

Hali hii hupelekea sisi wanaume kuogopa kuwauliza maswali ya namna hiyo wapenzi wetu mana inawezekana ni jana tu ulimpatia pesa ambayo si rahisi aimalize jana ileile lakini anataka kutumia fursa ya hilo swali kama njia nyingine ya ku generate income.

Wanawake acheni hizi hizi tabia kwakweli mana zinaboa muwe na huruma wakati mwingine, kama upo serious kweli sio mbaya ila kama unatumia hilo swali la mpenzi wako kwa minajiri ya kupewa tena pesa hata kama unayo pesa ya matumizi hapo mnakosea.

Acheni hii tabia aisee huwa mnatuboa sana wakati mwingine hasa kwa wale ambao sio wakweli
 
Duhh kama mapenzi yenu bado yanarevolve kwenye kutafta chakula tu nashauri muachane mtafte kazi au biashara mpate kipato kidogo ndo muendelee
Chakula ni basic need usimnyime mtu chakula
 
Siku hizi imekua kawaida kwa wanawake pindi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameshakula au laa ile ya kimahaba mara nyingi majibu yanayotoka utasikia "sijala baby".Ukishaambiwa hivyo mwanaume kama huna kitu mfukoni kwa siku hiyo usijisumbue kumuuliza kwanini hujala mana kitakachofuata hapo ni mzinga wa kiwango cha standard gauge.

Yani hata kama ameshakula na ameshiba bado atachukulia advantage ya swali lako kama njia muafaka ya yeye kukupiga mzinga wa pesa ukiamini kwamba huenda hajala kweli.Hali hii hupelekea sisi wanaume kuogopa kuwauliza maswali ya namna hiyo wapenzi wetu mana inawezekana ni jana tu ulimpatia pesa ambayo si rahisi aimalize jana ileile lakini anataka kutumia fursa ya hilo swali kama njia nyingine ya ku generate income.

Wanawake acheni hizi hizi tabia kwakweli mana zinaboa.Muwe na huruma wakati mwingine, kama upo serious kweli sio mbaya ila kama unatumia hilo swali la mpenzi wako kwa minajiri ya kupewa tena pesa hata kama unayo pesa ya matumizi hapo mnakosea.

Acheni hii tabia aisee huwa mnatuboa sana wakati mwingine hasa kwa wale ambao sio wakweli
"Baby nina njaa" haka ndio kamsemo maaruf cha wadada wa town.. wale wadangaji.
Unampa demu wako 30,000 leo, kesho anakupigia mchana anakwambia baby nina njaa...
Hii tabia ya wadada wanaambukizana na kufundishana ujinga, unakuta dem wako alikuwa na tabia nzuri tu gafla unaona anahizi dalili.
Wadada niwaambie zinakera, wanaume si kwamba hatuna hela, tunazo ila sasa nyie kila saa mna njaa .. kila saa vibom huwa inakera... ndio maana waowaji wanakuwa wachache sababu ya hizi tabia zenu.

Hatukatazaz mtu kuomba pesa kwa ajili ya kula.. lakin muombe kwa utaratibu.
 
Basilisha mfumo wa swali...sasa hivi uwe unauliza.."baby najua umeshakula hadi muda huu sasa Fanya hivi"

Usimpe nafasi ya kujibu lisiwe swali Bali iwe sentensi muendelezo.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Sasa unamuulizaje mtu hajala unategemea nn kwa mfano
Si kama unamuuliza mtu hajala hapana, yeye mwenyewe anaweza anza kukuuliza "baby umekula" na anakuuliza hivi makusudi akiamini na wewe utamuuliza ili apate nafasi ya kukupiga kirungu
 
Mpigwe tu virungu kwakweli hakuna namna unamuuliza mtu amekula na hata sh 100 haujampa
Si kama unamuuliza mtu hajala hapana, yeye mwenyewe anaweza anza kukuuliza "baby umekula" na anakuuliza hivi makusudi akiamini na wewe utamuuliza ili apate nafasi ya kukupiga kirungu
 
"Baby nina njaa" haka ndio kamsemo maaruf cha wadada wa town.. wale wadangaji.
Unampa demu wako 30,000 leo, kesho anakupigia mchana anakwambia baby nina njaa...
Hii tabia ya wadada wanaambukizana na kufundishana ujinga, unakuta dem wako alikuwa na tabia nzuri tu gafla unaona anahizi dalili.
Wadada niwaambie zinakera, wanaume si kwamba hatuna hela, tunazo ila sasa nyie kila saa mna njaa .. kila saa vibom huwa inakera... ndio maana waowaji wanakuwa wachache sababu ya hizi tabia zenu.

Hatukatazaz mtu kuomba pesa kwa ajili ya kula.. lakin muombe kwa utaratibu.
mpaka umeamua kuandika gazeti lote ili kweli una hasira nao
 
Siku hizi imekua kawaida kwa wanawake pindi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameshakula au laa ile ya kimahaba mara nyingi majibu yanayotoka utasikia "sijala baby".Ukishaambiwa hivyo mwanaume kama huna kitu mfukoni kwa siku hiyo usijisumbue kumuuliza kwanini hujala mana kitakachofuata hapo ni mzinga wa kiwango cha standard gauge.

Yani hata kama ameshakula na ameshiba bado atachukulia advantage ya swali lako kama njia muafaka ya yeye kukupiga mzinga wa pesa ukiamini kwamba huenda hajala kweli.Hali hii hupelekea sisi wanaume kuogopa kuwauliza maswali ya namna hiyo wapenzi wetu mana inawezekana ni jana tu ulimpatia pesa ambayo si rahisi aimalize jana ileile lakini anataka kutumia fursa ya hilo swali kama njia nyingine ya ku generate income.

Wanawake acheni hizi hizi tabia kwakweli mana zinaboa.Muwe na huruma wakati mwingine, kama upo serious kweli sio mbaya ila kama unatumia hilo swali la mpenzi wako kwa minajiri ya kupewa tena pesa hata kama unayo pesa ya matumizi hapo mnakosea.

Acheni hii tabia aisee huwa mnatuboa sana wakati mwingine hasa kwa wale ambao sio wakweli
Utaanzaje kuuliza sasa wakati unajua mifuko yako imetoboka [emoji2]
 
Duhh km mapenzi yenu bado yanarevolve kwny kutafta chakula tu nashauri muachane mtafte kazi au biashara mpate kipato kidogo ndo muendelee
Chakula ni basic need usimnyime mtu chakula
Nje ya point!! Chaka bovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom