Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu? Mimi ni msichana na nipo kwenye mahusiano na mtu ambaye naona simuelewi. Kiukweli nampenda sana ingawa sijui kama yeye ananipenda ingawa kuna muda anadai ananipenda pasipo hata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nko kwenye uhusiano na msichana for 2years now bt nnaona vtuko per day vingi vingne nacheka vingne na waza iv huyu ana nini?Ukimgombeza tu analia balaa baada ya ananuna hapiki et nnaumwa,muda...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Salamu zifike kwenu " Waungwana Wakati sehemu " kubwa ya Jamii yetu ikiendelea kuzua taharuki na lawama dhidi ya Mmong'onyoko wa kimaadili uliopo sasa na kuendelea kuvuma kwa kasi ya moto wa...
27 Reactions
390 Replies
20K Views
1. Watu wanaigiza uhalisia Katika eneo ambalo watu wanaigiza uhalisia wa maisha kwa kiasi kikubwa ni kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi pamoja na mitandao ya kijamii. Watu huweka picha ambazo...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo; Zifuatazo ni baadhi ya dokezo naamini huenda zikawasaidia wenzangu japo naamini wapo wanaoyajua: 1) Mwanamke humsoma mwanaume kwa umakini sana tofauti na...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Eti, nani unaona anakufatilia, anakupenda penda hivi ila anaogopa kukuambia? We jilipue tu afu tuone kama atakukana!![emoji23]
6 Reactions
352 Replies
19K Views
Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM Karibuni Sana
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Na decrare interest kwamba nilimfanyia shoping kubwa demiss kama laki tano hivi ya sikukuu lakini cha kushangaza na nje ya makubaliano yetu kazima simu tangu asubuhi saa hizi nne na nusu usiku ndo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mara nyingi katika jamii zetu kumekuwa na mitafukano kati ya mtu na mtu, kundi na kundi au hata familia na familia. Sasa Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupeana tips za muhimu ili kudumisha umoja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nipo hapa ninaangalia kioo cha simu yangu muda wote,nione kama kuna walau sms mpya ama incoming call mpya.. Wallah leo ilkua ni siku njema sana kwangu baada ya kuonana nawewe mrembo mwenye kila...
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Mtu yeyote HIV+ Alieko mwanza anifuate PM kuna jambo la maana kwa ajili yake Asante..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za kutwa wapendwa? Natafuta mke awe tayari kuishi pamoja mimi ni mkristo pia ni mjasiliamali sio lazima mwanamke awe na kazi KWANI NINA UWEZO WA KUKIDHI MAHITAJI YA FAMILIA. umri wangu 25...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Usiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi, Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!!😒
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za usiku huu great thinkers Leo nimekuja niwaulize ninyi wenzetu wa upande wa pili..... Mnataka nini? Maana kila analofanya mwanamke ninyi mnakosoa tuu...hamnaga jema. Nitatoa mifano...
15 Reactions
233 Replies
17K Views
Mimi nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na dada yangu binamu tangu mwezi wa nne mwaka huu. Huyo dada yangu binamu ni binti wa mjomba wangu. Sasa, kwa kuwa uhusiano wetu wa kimapenzi ni wa muda...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
........Wanaume Halisi kila siku Tunazidi kupotea na kupungua kwa kiwango kikubwa Sana. Hakika Hali ni tete Sana, Nowdays Wavulana wengi wanatumia Dawa za kuongeza nguvu za Kiume, either za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii inawahusu wale wenye experience na vitu viwili yaani CHAPUTA na papuchi. Hivi wazungu wakiwa wanatoka kwa kitendo cha chaputa na wazungu wakitoka kwa kitendo cha kugegedana utamu ni sawa au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi, habari ndugu zangu, Kuna mambo mengi wanawake wangependa kujua kuhusu wanaume, nini tunapenda, how we like to be treated, najua mna maswali mengi. Karibuni, uliza swali lolote kuhusu...
5 Reactions
202 Replies
22K Views
_*Mimi na mchepuko wangu tunawatakia Heri ya christmasi na mwaka mpya mana haikua kazi rahs kumaliza mwaka bila kufumaniwa*_ [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957] Kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya JN GROUP COMPANY LIMITED anatangaza nafasi za kazi kwa nafasi zifuatazo:- Kazi za usafi maofisini Kazi za viwandani Kazi ya duka Kazi za kuuza na kusafirisha bidhaa za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom