NAJUTA, nilipishana na Gari la Mshahara

NAJUTA, nilipishana na Gari la Mshahara

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
......Miaka 14 nyuma toka Sasa,niliachana na girlfriend wangu mpya Kisa Alikuwa Ana MAJI Sana kule Bondeni.....Kila akitafuta kwa simu nilikuwa simjibu SMS zake na pia Sipokei Calls Zake.
Dah Sasa ndo najuha Thamani na utamu wa Wanawake Wenye WETLAND,na mbaya zaidi Sina Njia ya kumpata Tena, Jamani Kama una mgodi wa Namna hii Ushikilie Sana,Hiyo ni Neema Baharia Usiache kirahisi Kama Mimi.

#TEAMMAJI HOYEEE
 
Bado ujachelewa nenda Bukoba au Uganda.
 
Mimi nilijua unasikitika kuna deal kubwa ya pesa imekupita kumbe unazungumzia mambo mengine....
 
......Miaka 14 nyuma toka Sasa,niliachana na girlfriend wangu mpya Kisa Alikuwa Ana MAJI Sana kule Bondeni.....Kila akitafuta kwa simu nilikuwa simjibu SMS zake na pia Sipokei Calls Zake.
Dah Sasa ndo najuha Thamani na utamu wa Wanawake Wenye WETLAND,na mbaya zaidi Sina Njia ya kumpata Tena, Jamani Kama una mgodi wa Namna hii Ushikilie Sana,Hiyo ni Neema Baharia Usiache kirahisi Kama Mimi.

#TEAMMAJI HOYEEE
Mwanamke mwenye maji ndio mpango mzima papuchi kavu no
 
Back
Top Bottom