Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,143
- 2,278
Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri
kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda
ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda
Na ni mtu wa dini, kituko unaweza
ukamuacha kisa hana tako kubwa wanaume tunakwama wapi mi hata sielewi yaani.
kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda
ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda
Na ni mtu wa dini, kituko unaweza
ukamuacha kisa hana tako kubwa wanaume tunakwama wapi mi hata sielewi yaani.