Ushauri wa haraka wakuu, nina mke wa mtu ndani

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Hali si hali wandugu hapa,

Ni hivi, nina mpenz wangu but yupo mbali sana, so kutokana na ukame nikakutana na binti mmoja hivi mrembo hasa, nikatupia ndoana akaingia tukaanza mahusiano na nikamuambia uwepo wa mpenzi wangu hakuonekana kujali baada ya wiki kama 3 hivi akaniambia Yeye pia ni mke wa mtu na akaniomba niendelee kuwa naye kwasababu yupo comfortable sana namimi na furaha yake imeongezeka tangu akutane namimi, na mume wake pia yupo mkoani anafanya kazi huko.

Kutokana na tayari nishaonja asali kwa kweli ujasiri wa kumkataa tena sikuwa nao (nadhan wanaume wenzangu mnanielewa vema katika hili), japo hakuniambia ukweli tangu mwanzoni, nikaona sio shida ngoja niendelee kula mzigo, kwa muda mrefu nipo naye kama miezi 7 sasa, mume wake hakuhisi chochote kwa kipindi chote hicho japo huwa anakuja kila weekend kumcheck mke wake.

Kama miezi 2 hivi nyuma amewahi kuniambia kuwa anapoteza kabisa hamu na mume wake, yaani akiwa na mume wake hadi avute picha yangu ndo anajikuta anapata mood ya kusex so huwa anasex naye kwa kuimagine yupo namimi, nilichokifanya ni kumuelezea jinsi gani ilivyo sio njema kwa hilo maana Yeye ni mume wake na mimi ni mpitaji tu so asiniweke sana akilini, ni kama hakuelewa somo hivi akasema tuachane na hayo tuendelee na mengine, maisha yakawa yanaendelea huku nikishangaa upendo wake mkubwa vile kwangu wakati ameolewa, akawa analazimisha anifulie nguo zangu, anipikie, adeki ndani zaidi sana akaanza kuwa na wivu usio wa kawaida, akawa mpaka anakagua msg zang akiona namba mpya au ya dem yoyote tofaut na wife anakuwa mkali.

Sasa, kwenye hii sikukuu ya Christmas ndo yamenipata makubwa, mume wake alisema atakuja kwa ajili ya sikukuu so akamwambia ajipangea anataka ampeleke Arusha wakale sikukuu huko, dem akakataa, baadae akanambia kuhusu hilo nikamwambia sio poa aende tu akanijibu hawezi kula sikukuu mbali namimi na angependa sikukuu tuwe wote, nikamshangaa sana. Jana asubuhi akanipigia simu kwamba nijiandae tutakuwa wote nikamwambia hapana awe na mume wake, akaanza kunituhumu kwamba nina mwanamke mwingine na simpendi Mambo yakawa mengi, mi sikujali nikamwambia iwe hivyo sitaki aje kwangu. Nimeshangaa kama saa 11 hivi jioni namuona anatokea kwangu, nikamuuliza vipi akasema ameshindwa kukaa mbali namimi siku ya sikukuu hivi kwamba ataabiwa.

Akanisimulia jinsi alivyotoka kwa mume wake, eti amemdanganya ametumwa kwa dharula kwenda morogoro kufuatilia mzigo muhimu sana huko ofisini anakofanyia kaz. Daaah nikajisikia vibaya sana, but ndo hivyo sikuwa na jinsi akalala kwangu na ameniambia leo pia anataka awe na mimi kwa kuonesha msisitizo amechukua nguo zangu chafu zote anazifua.

Kiukweli sina amani kabisa.

Nishaurini wakuu, nifanyeje katika situation kama hii??.

N:B. Kuhusu mwanamke; Yupo vizuri kisura,kiumbo hadi kiuchumi, anaonekana amelelewa vizuri sana na wazaz wake.

Kuhusu mume wake; yupo vizuri pia kiuchumi ila anaonekana kumuamini sana mke wake, anamtext sana hapa na kumpa pole kwa kazi hasa wakati huu wa sikukuu.

Kuhusu mimi; Nipo stable kiasi kiuchumi, kwa huyu mwanamke namzidi ila mume wake simfikii.

UPDATE:
usiku kucha nimezungumza naye huyu mwanamke, tumefika sehemu nzuri na nimemueleza madhara ambayo yanaweza kutokea mbeleni kama wadau wengi walivyoshauri, na pia nikatengeneza picha ya uwongo kwamba wife anakuja na atakuwepo hapa kwa muda mrefu. Yeye alichojibu ni kwamba kuhusu madhara wala hana hofu coz anamjua mume wake ila hili la wife kuja ndo amesema litamuweka mbali namimi hadi wife atakapoondoka. Kwangu ni ushindi mkubwa maana napanga muda huu wote sitampigia simu wala text nayeye akipiga sitataka niongee naye kwa muda mrefu, na kuna mdada nataka nimpange hapa ili akipiga apokee Yeye na iwe kama amejua kila kitu then amchimbe bit nzito baada ya hapo ndo forever sipokei tena simu zake.

Ahsanteni wote kwa mchango wa mawazo hata wale walionitisha kwamba nitaliwa nawashukuru, niwaambie tu hii sio ya kutunga bali ni kweli na imenitokea, kweli kabisa.
 
Da! Inasikitisha sana aisee, chukua maamuzi magumu achana na huyo mwanamke. Jaribu kuvaa viatu vya jamaa uone maumivu yake, si vyema kumchora mwanaumwe mwenzio, wanawake watu wabaya sana
Nishauri mkuu nifanyeje niachane na huyu manzi, unaponilaumu unanichanganya zaidi.. yaan hapa nipo napitia kila comment probably naweza pata mwanga
 
Hali si hali wandugu hapa,

Ni hivi, nina mpenz wangu but yupo mbali sana, so kutokana na ukame nikakutana na binti mmoja hivi mrembo hasa, nikatupia ndoana akaingia tukaanza mahusiano na nikamuambia uwepo wa mpenzi wangu hakuonekana kujali baada ya wiki kama 3 hivi akaniambia Yeye pia ni mke wa mtu na akaniomba niendelee kuwa naye kwasababu yupo comfortable sana namimi na furaha yake imeongezeka tangu akutane namimi, na mume wake pia yupo mkoani anafanya kazi huko.

Kutokana na tayari nishaonja asali kwa kweli ujasiri wa kumkataa tena sikuwa nao (nadhan wanaume wenzangu mnanielewa vema katika hili), japo hakuniambia ukweli tangu mwanzoni, nikaona sio shida ngoja niendelee kula mzigo, kwa muda mrefu nipo naye kama miezi 7 sasa, mume wake hakuhisi chochote kwa kipindi chote hicho japo huwa anakuja kila weekend kumcheck mke wake.

Kama miezi 2 hivi nyuma amewahi kuniambia kuwa anapoteza kabisa hamu na mume wake, yaani akiwa na mume wake hadi avute picha yangu ndo anajikuta anapata mood ya kusex so huwa anasex naye kwa kuimagine yupo namimi, nilichokifanya ni kumuelezea jinsi gani ilivyo sio njema kwa hilo maana Yeye ni mume wake na mimi ni mpitaji tu so asiniweke sana akilini, ni kama hakuelewa somo hivi akasema tuachane na hayo tuendelee na mengine, maisha yakawa yanaendelea huku nikishangaa upendo wake mkubwa vile kwangu wakati ameolewa, akawa analazimisha anifulie nguo zangu, anipikie, adeki ndani zaidi sana akaanza kuwa na wivu usio wa kawaida, akawa mpaka anakagua msg zang akiona namba mpya au ya dem yoyote tofaut na wife anakuwa mkali.

Sasa, kwenye hii sikukuu ya Christmas ndo yamenipata makubwa, mume wake alisema atakuja kwa ajili ya sikukuu so akamwambia ajipangea anataka ampeleke Arusha wakale sikukuu huko, dem akakataa, baadae akanambia kuhusu hilo nikamwambia sio poa aende tu akanijibu hawezi kula sikukuu mbali namimi na angependa sikukuu tuwe wote, nikamshangaa sana. Jana asubuhi akanipigia simu kwamba nijiandae tutakuwa wote nikamwambia hapana awe na mume wake, akaanza kunituhumu kwamba nina mwanamke mwingine na simpendi Mambo yakawa mengi, mi sikujali nikamwambia iwe hivyo sitaki aje kwangu. Nimeshangaa kama saa 11 hivi jioni namuona anatokea kwangu, nikamuuliza vipi akasema ameshindwa kukaa mbali namimi siku ya sikukuu hivi kwamba ataabiwa.

Akanisimulia jinsi alivyotoka kwa mume wake, eti amemdanganya ametumwa kwa dharula kwenda morogoro kufuatilia mzigo muhimu sana huko ofisini anakofanyia kaz. Daaah nikajisikia vibaya sana, but ndo hivyo sikuwa na jinsi akalala kwangu na ameniambia leo pia anataka awe na mimi kwa kuonesha msisitizo amechukua nguo zangu chafu zote anazifua.

Kiukweli sina amani kabisa.

Nishaurini wakuu, nifanyeje katika situation kama hii??.

N:B. Kuhusu mwanamke; Yupo vizuri kisura,kiumbo hadi kiuchumi, anaonekana amelelewa vizuri sana na wazaz wake.

Kuhusu mume wake; yupo vizuri pia kiuchumi ila anaonekana kumuamini sana mke wake, anamtext sana hapa na kumpa pole kwa kazi hasa wakati huu wa sikukuu.

Kuhusu mimi; Nipo stable kiasi kiuchumi, kwa huyu mwanamke namzidi ila mume wake simfikii.
Mwanamke alimponza adam mpaka leo matatizo hayaishi duniani. Sasa we ngoja janga la adam liamie kwako.
 
Ninacho omba huyo mumewe awe anajua ila anawatafutia mda tu afanye usodoma vizuriii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom