it was like..........View attachment 973726
Ndiyo,huyu hapa![emoji116] Nilikuwa nakutongoza kule pm ili nibadilishe ladha rafiki![emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe una mpenzi
Mje wapenda masuprise mtuambie mliyokumbana nayo. Kikawaida huwa sipendi hicho kitu kutokana na kuona wanayokutana nayo wengi wa hao wapenda suprise, ni wachache wanaokuta waliyoyategemea kwani waliowengi wanakuta ni kinyume kabisa.
Kuna njemba ilikuwa kwenye mahusiano na bidada mmoja, Asa hapo kati mawasiliano yakawa yameanza kusuasua, njemba ikaamua ipange ziara ya ghafla, mamaa alichokikuta mpaka saivi inasema shikamoo mapenzi.
Mzigua naomba unishtukize na mimi!Siendagi kwa watu bila taarifa. Labda anipe funguo yangu. Nilimshtukiza ex bf tu. Nilienda mkoa aliokuwepo kwa issues zangu nikaenda sehemu yake ya biashara kumsalimia na sikumkuta alienda kwenye msiba kijijini. Nikafanya kilichonipeleka nikasepa.
Zaidi ya hapo bado sijaingia na huba la kumsurprise kiumbe mwingine
Mambo yako haya bebe rafiki 😂😂Ndiyo,huyu hapa![emoji116] Nilikuwa nakutongoza kule pm ili nibadilishe ladha rafiki![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 973746
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rafiki umefufuka?[emoji15]Mambo yako haya bebe rafiki [emoji23][emoji23]
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rafiki umefufuka?[emoji15]
Rafiki umekuja rasmi?[emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa akajikuta anaji surprise mwenyewe!😀😀😀Hazifai hizi kitu.Kuna mmoja alimuaga mke wake anasafiri kikazi kumbe uongo lengo aje asuprise akasubiri usiku mnene ndio akarudi kufika anagonga geti kaja kufungua mdada wa kazi anauliza mama yuko wapi anaambiwa katoka toka saa kumi Alasir. Hebu wazia hapo kilitokea nini. Safari za kushtukiza ni hatari sana kwa Afya.