Huyu dada simuelewi baada ya kuachana

Huyu dada simuelewi baada ya kuachana

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.

Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
 
Sasa hujaelewa nini hapo?mbona katumia kiswahili chepesi sana
 
Anamaanisha visima vya kale havifukiwi. Uwe unarudi kupiga siku moja moja watalaka hawaachani, Hapo huelewi nini?
Tulikuwa wapenzi tu, na mimi Nilishakata mazima toka tuzinguane. Yupo mwingine nimetulia naye chief
 
Tumia falsafa yangu.

Mbele daima kurudi nyuma Mwiko.Kata Mawasiliano.

Gari Moshi halirudi Nyuma,

Nb:Mwenyewe utakuwa unamkubali sana huyo Manzi/Nyote mnapendana vilivyo mmeachana kimagumashi.
Au labda visherehe hivi Mtu anatufutia pakuponea.
 
Mkubalie, nyapu haisusiwi

Note: Kugongana sio lazima muwe wapenzi
 
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.

Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
we wasiliana naye tu hakuna namna,alikoenda amesoma ramani anaona vumbi tu na vichaka.
we mpigie simu,mtumie msg nk
 
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.

Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Huko alipokuwa kaona napo hakuna kitu bora kwako!!
 
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.

Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Kama mlishaachana na hauna interest nae ya nini kujiumiza kichwa kumfikiria? Potezea
 
Back
Top Bottom