ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,191
Hi MMU...!
Maumivu niliyopitia jana leo yanakuwa darasa huru ktk maisha yangu. Jana nilipong'atwa na nyuki nikajitutumua kufikicha maumivu, kumbe maumivu ndo yanaongezeka na nundu ndo linavimba zaidi, leo nimeng'atwa, nimejikausha kimya, maumivu yamekatika wala hakuna nundu.
Wanadamu wote tuna mioyo ya nyama na damu, hakuna sugu/m'babe wa hisia, huyo hayupo. Lakini mtu makini ni yule mwenye uwezo wa kuControl hisia za maumivu moyoni mwake. Nioneshe mtu utakayemkera jambo, naye akameza mate na kufata njia yake, nami nitakuonesha Jembe.
Somo nililopata kwa kuumia pale 821 KJ Kanembwa leo linanifanya niwe strong ktk kucontrol hisia za maumivu moyoni.
Atakuja Kamanda mbele yako, hujatenda kosa, huna hili wala lile.., akakwambia, piga magoti, lalia tumbo, ita kunguru, deki dunia, simika 2nakoz, hesabu #, beba dunia.
Yote haya ili mradi tu akukere, uumie moyoni, ukishakereka aone reactions zako. Kitendo cha ww kureact negatively ndo "kujaa upepo", ukijichanganya ukajaa upepo, ukajifanya ww ndio mwamba, ww ni undefeatable, basi utaumia zaidi, utakula mabuti, utatumikishwa siku nzima, hiyo siku imani itakua ndoto kwako. Lkn kamanda akikuprovoke, nawe ukaStand calm, ukawa mpole, ukaonesha kutokukereka, kutokuchukia, basi kamanda atakuacha, ataondoka zake, utabaki na amani tele rohoni na moyoni. Tena huyo kamanda atakukubali sana, atakuheshimu sana, na kukuona jembe.
Dr. Slaa kaumia sana, kafedheheka, kasononeka, maumivu yale makal mno... Moyo hauna kokoto ule, ata angekua King Solomon angesikia uchungu mkuu moyoni.
Nguvu zote, akili zote, nia yote, msoto wote, kila kitu alichokifanya ndani ya miaka7 kusafisha njia kwenda ikulu kinayeyuka ndani ya siku7 tu. Moyo unauma sana. Lkn akivyojaa upepo ndo akaumia zaidi.
Dr. Jana akajaa upepo, akawa mbogo, akajitutumua kufikicha maumivu, badala ya maumivu kuisha ndo yanaongezeka na nundu juu. Credibility na imani yote aliyojijengea kwa w/nchi for less not than 7 yrs zinaisha ndani ya masaa7 tu. Hapa ndipo Dr kaumia zaidi ya awali.
Heri Dr angenywea, angetulia tu, asingejifikicha, asingejitutumua, asingejaa upepo, angemeza mate na kufata njia zake... w/nchi wangemueka mioyoni mwao milele, wangemuheshimu daima, ningekuonesha Jembe.
Kwa response ya w/nchi (jana+leo) huko alipo Dr ndio unaumia zaidi, tena sanaa, anahisi dunia si mahali pake, moyo ndio unatamani upasuke, maumivu sasa ndo yamepenya zaidi.
Lesson...
Likewise kwenye mapenzi.
With your patner mnaeza mkawa mmefanya vingi vingi, mmejenga strong r/ship kwa muda mrf, mmepitia dhoruba nyingi, u've shared moments, mapenzi yamepamba moto, mmeshirikiana kila hatua ya maisha mema/mabaya / huzuni /furaha/majanga nk. Mpk ikafika kipindi ukawa na that huge hope in ur patnership. Lkn ikapita dhoruba kuu, huyo patner wako akakengeuka, akakuacha mataa kizembe zembe, akakudispose km tissue...
Usijae upepo kbs, usijitutumue, usifikiche maumivu. Usianze kumtukana, usianze kumtangaza, usimnenee mabaya, usimwongelee uongo, usimwoneshe kiburi, usiwe mbogo, usivujishe siri, usimfanyie vitimbi na vituko, usijibu mapigo,
Sinyaa moyo, nywea tu, jikaushe, be thankful for that time you had with him/her, usijibu mashambulizi, jikaushe tuliiii.. Tena ikiwezekana msifu kwa yale mlofanya pa1, kisha fata njia yako.
Utaumia lkn maumivu yatakata hrk sana, tena bila nundu. Utabaki na amani moyoni, utakua very free, hutokua na kinyongo kamwe.
Lkn yeye atakukumbuka milele daima, you'd have built a strong legacy in his/her soul, itamuuma sana, nafsi na dhamira itamsuta sana. And lastly atajiona ***** tu... AMANI KWENU.
[Long thread, avoid quoting]