Hii inatuhusu hasa sisi vijana tena wa kiume. KWA sababu unajiamini kwamba unajuana na watu wengi halafu na hauwezi kuomba mwaliko wa sikukuu kwa kuanza wewe maana unaamini kuwa watakuita tu...
MAMBO 21 AMBAYO MWANAUME ATAKIWI KUFANYA ANAPOKUTANA NA MWANAMKE |
Guys: 21 Things You Shouldn’t Do (Or Ask) When You Meet A Lady
So you just summoned the coueage to finally ‘toast’ that chick...
Tofauti kati ya msichana na mwanamke!
»A Girl searches for a rich man
»A Woman searches for a caring and loving
man
»A Girl envies those who move ahead and
hate the players
»A Woman shares...
Leo nipo kanda maalumu mkoa wa Mara katika kuelimishana na wadada flani wa kazini kwangu kuhusu wanawake waliokeketwa mi nikidai kuwa so romantic na network zao katika mahaba zipo mbali. Wadada...
Umri wang Miaka 33 natafuta mchumba lazima atoke Morogoro.Awe na elimu walau kidato cha nne.Awe mrefu sijali rangi,asiwe mfupi na awe anajiheshimu.Wassap no 0654 501724
Heri ya Xmass wadau wa JF....
SWALI: Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na...
Habari wana jf
Naomba mnisaidie nipate contact za Nick Minaj maana ule mzigo aka chura unanivutia sana hivyo nahitaji na mimi nimtie mkuyenge wangu niufaidi utamu wake!
Nikimalizana na huyu...
Wanaume acheni nyenyee humu baadhi yenu ni nyenyeeee acheni unyenyeee maana hata wadada wengine hawavumilii unyenyeee.
So anzeni mwaka na amani msipendee unyenyeee.
[emoji121]
Wakuu,
Nilipokuwa najifunza kuendesha bodaboda wana wengi huku kitaa cha Tegeta_Wazo walinidharau na kunikebehi sana,
Nilipofuzu mafunzo na kupata leseni tu,
Nikapata kazi ya...
Heri ya Christmas wana jamii forum wote.
Wanaume wenzangu naomba tuwasamehe wazazi kwa kutaka kujua shughuli unayofanya kabla ya kuoa binti yao, haya yote wanafanya kwasababu ya mapenzi kwa binti...
Heri ya x-mass wakuu.
Najua mambo yanakwenda sawia kabisa majumbani.
Nijikite katika Title yangu. Wakuu sijawahi kuwa na bahati kabisa ya kuwatongoza mabinti ila nilikua na bahati ya kutongozwa...
HERI YA KRISMASI WANA JF
Nimeamuaa kuuleta huu uzi makusudi baada ya kukutana na kadhia/dhana hii ktk maisha yangu na rafiki zangu. Kwamba ukifuatilia kwa ukaribu utagundua ndugu yako awe kaka au...
Wakuu habari zenu.. mimi ni kijana tu wa makamo naombeni msaada wenu kwa hili maana ata sielewi nifanye nini ingali kuna msemo unasema "akienda mwache aende na akiludi muulize kasahau nini"...
Kiukweli huyu dada nimewahi kumtongoza kwa bahati mbaya alinikatalia, tunaishi kama majiran ila toka aliponikatalia ombi langu nilipunguza sana mazoea nae, kitu cha kushangaza huyu Dada kaja...
Habari wandugu,
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,
Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.